Advertise here

Zaeni Mapema Acheni Ubishoo

Kasomi

JT Founder
Anaandika Faida Potea
Kwamfano

Unapata mtoto ukiwa na miaka 30, mtoto baada ya miaka 6 anaanza darasa la 1, wewe una miaka 37.

Anamaliza darasa la 7, wewe una miaka 44.
Anamaliza kidato cha 4, wewe una miaka 48
Anamaliza kidato cha 6, wewe una miaka 50
Anajiunga na Jeshi la Kujenga Taifa, wewe una miaka 51
Anamaliza Chuo kikuu 4years, wewe una miaka 55
Anatafuta kazi na kuanza kujitegemea mwaka mzima, wewe una miaka 56

Hapo mtoto hajafeli wala kurudia Vidato.

Huyo ndio first born wako hapo tumeasume umempata ukiwa na miaka 30.
Life expectancy ya Tanzania ni miaka 52.

ZAENI MAPEMA ACHENI UBISHOO!!!!
 
Back
Top