Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), leo limetangaza taarifa ya matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato

Kasomi

JT Founder
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), leo limetangaza taarifa ya matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili uliofanyika October/November 2022 ambapo kwa upande wa darasa la nne jumla ya Wanafunzi 1,320,700 kati ya 1,592,235 wenye matokeo sawa na 82.95% wamefaulu kwa kupata Madaraja ya A, B, C na D.

“Kati yao Wasichana ni 694,547 sawa na 84.76% na wavulana ni 626,153 sawa na 81.03%, mwaka 2021 Wanafunzi waliofaulu walikuwa 1,347,554 sawa na 86.30%”

=====
Matokeo zaidi Pitia link hapa chini

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022
Soma hapa MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2022

Soma hapa MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2022

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) MARUDIO 2022
Soma hapa MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) MARUDIO 2022
 

Similar threads

Back
Top