UNAAMBIWA: Mwanahisabati, Mwanafizikia na Mwanateknolojia wa Uingereza, Isaac Newton aliwahi pia kuwa Mbunge mwenye historia ya peke yake

Kasomi

JT Founder
169

UNAAMBIWA: Mwanahisabati, Mwanafizikia na Mwanateknolojia wa Uingereza, Isaac Newton anayo mengi ya kukumbukwa kutokana na michango yake mbalimbali kwenye sayansi lakini ambacho wengi hawakifahamu aliwahi pia kuwa Mbunge mwenye historia ya peke yake.

Akiwa anawakilisha Cambridge Bungeni, Newton alikuwa Mbunge kwa mwaka mmoja tu na alisema sentensi moja tu akiwa Bungeni na sentensi yenyewe ni kumuomba mwenzake afunge dirisha kwakuwa alikuwa karibu nalo. ?Newton alizaliwa January 4 1643 na kufariki March 31 1727.

Pia Soma historia ya Isaac Newton
 
Back
Top