Kasomi
JT Founder
UNAAMBIWA: Mwanahisabati, Mwanafizikia na Mwanateknolojia wa Uingereza, Isaac Newton anayo mengi ya kukumbukwa kutokana na michango yake mbalimbali kwenye sayansi lakini ambacho wengi hawakifahamu aliwahi pia kuwa Mbunge mwenye historia ya peke yake.
Akiwa anawakilisha Cambridge Bungeni, Newton alikuwa Mbunge kwa mwaka mmoja tu na alisema sentensi moja tu akiwa Bungeni na sentensi yenyewe ni kumuomba mwenzake afunge dirisha kwakuwa alikuwa karibu nalo. ?Newton alizaliwa January 4 1643 na kufariki March 31 1727.
Pia Soma historia ya Isaac Newton
Historia ya Sir Isaac Newton
HISTORIA YA SIR ISAAC NEWTON Sir Isaac Newton {25 december 1642 - 20 march 1726} alikuwa ni mwana fisikia, mwanahisabati, mwanateolojia na mwanafalsafa asilia ambaye amekuwa ni ufunguo muhimu katika ulimwengu wa kisayansi. Newton aliweza kuvumbua kanuni ya mwendo, kanuni nguvu ya mvutano na...