Kasomi
JT Founder
Umeshawahi kujiuliza kwanini watu wanaweka Airplane mode wakiwa safarini kwenye ndege ? Je kuna ulazima wa kuweka ? Vipi ikitokea ujaweka Airplane mode ?
Yote ni maswali ambayo watu wengi wanajiuliza kuna ulazima gani wa kuweka Airplane mode kwenye simu zetu ? Simu tunajua ni moja wapo ya kifaa cha mawasiliano ambapo watu tunatumia kuwasiliana na kufanya mambo mengine.
Unapoweka Airplane mode On unakua unazima mifumo mizima yote ya kutoa taarifa za simu yako. Pindi simu inapokuwa kwenye Airplane mode baadhi ya mawasiliano unakatisha ila unakua na uwezo wa kutumia bluetooth, wifi, kuangalia video na kusikiliza Audio.
Kwanini Abiria waliopo kwenye ndege wanashauriwa kuweka On Airplane mode, kulingana na ripoti toka kurasa ya FFA ya masuala ya usalama wa ndege inasema FCC na FFA zinapiga marufuku matumizi ya simu kwenye ndege kwa sababu mawimbi yanayotoka kwenye simu yanaweza kuingiliana na mawasiliano ya ndege.
🗣 Unapoweka off Airplane utasababisha mawasiliano kuingiliana ya mifumo ya Rubani na wanaongoza ndege pamoja na mifumo mingine na kupelekea ndege kupoteza muelekeo na ajali kutokea.
C&P: Bongotech255