Iconic Tower Ghorofa refu zaidi Afrika

Kasomi

JT Founder
Jengo refu zaidi barani Afrika ni Iconic Tower lililopo katika Mji Mkuu Mpya wa Utawala wa Misri, Cairo. Lina urefu wa mita 393.8 na lina ghorofa 77. Lilikamilika mwaka 2024 na linawakilisha maendeleo ya kisasa ya nchini Misri.
1741265362737.jpg

Hadi kufikia Januari 2025, orodha ya majengo matatu marefu zaidi barani Afrika ni kama ifuatavyo:

1.Iconic Tower, Misri – Urefu wa mita 393.8, ghorofa 77.

2.Great Mosque of Algiers Tower, Algeria – Urefu wa mita 264.3, ghorofa 36.

2.Mohammed VI Tower, Morocco – Urefu wa mita 250, ghorofa 55.

Chanzo: TBC2 Online
 
Back
Top