Advertise here

Search results

  1. Kasomi

    Zifahamu namba za huduma za Dharura nchini

    Zifahamu namba za huduma za Dharura nchini. Mamlaka la Mawasiliano Tanzania (TCRA) inashughulika katika kupanga, kutenga na kugawa rasilimali namba za mawasiliano ikiwemo namba maalum za dharura.
  2. Kasomi

    Jinsi ya kupakia tovuti kwenye Vercel kupitia GitHub hatua kwa hatua

    Jinsi ya kupakia tovuti kwenye Vercel kupitia GitHub: Hatua ya 1: Kutengeneza Repository Kwenye GitHub Anafungua GitHub, anatengeneza repository mpya, anaipa jina (mfano: demo_vercel), na kubofya "Create repository". Hatua ya 2: Kupakia Faili za Mradi Kwenye GitHub Anafungua folda ya mradi...
  3. Kasomi

    Maana na Kazi ya FUP Kwenye Mitandao na Sababu ya kushuka kwa speed ya Internet

    FUP ni kifupi cha Fair Usage Policy (kwa Kiswahili: Sera ya Matumizi ya Haki). Hii ni kanuni au kikomo kinachowekwa na watoa huduma za internet (ISP) kwenye vifurushi vya "Unlimited" (bila kikomo) ili kuhakikisha kuwa watumiaji wote wanapata kasi nzuri ya internet. Maana na Kazi ya FUP Kwenye...
  4. Kasomi

    Maana ya Namba na Herufi zilizopo Kwenye Tairi la Gari?

    Matairi mengi ya kisasa yana namba ambazo hubeba taarifa muhimu na tofauti lakini watu wengi huwa hawana uelewa wa namna ya kuzisoma, kuzitafsiri na kuelewa maana ya namba hizo. Leo tuanze na alama ya kiwango cha kasi (speed rating), inayoonyesha kasi ya juu ambayo tairi linaweza kuhimili bila...
  5. Kasomi

    NECTA Grading System

  6. Kasomi

    NECTA: Pointi za Madaraja Kidato cha Nne

    POINTI ZA MADARAJA KIDATO CHA NNE Fahamu Pointi za Madaraja zinazotumika Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwenye Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) kama inavyofafanuliwa katika jedwali hapo chini. Daraja la Kwanza 7-17 Daraja la Pili 18-21 Daraja la Tatu 22-25 Daraja la Nne linatolewa...
  7. Kasomi

    Mwimbaji maarufu Dua Lipa aifungulia kesi kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 kwa kutumia sura yake bila makubaliano

    Mwimbaji maarufu Dua Lipa ameripotiwa kuifungulia kesi kampuni ya teknolojia ya Samsung akidai fidia ya angalau dola milioni 15 kwa madai ya kutumia sura na taswira yake kutangaza televisheni bila idhini yake rasmi. Kwa mujibu wa nyaraka za kesi zilizoripotiwa na vyombo vya habari vya burudani...
  8. Kasomi

    Je, unajua kuwa siafu mmoja anaweza kuuzwa hadi dola 220 (zaidi ya shilingi za Kitanzania 500,000) kwenye soko haramu

    Kulingana na taarifa za hivi karibuni mnamo Aprili 2026, siafu aina ya Malkia (hasa Giant African Harvester Ant) wanauzwa kwa bei ya juu sana katika soko haramu, huku mmoja akiweza kugharimu hadi dola za Kimarekani 200 hadi 220 (sawa na zaidi ya shilingi za Kitanzania 500,000). Hapa kuna mambo...
  9. Kasomi

    Faida za Kunywa Bia Kwa Kiasi

    Faida za Kunywa Bia Kwa Kiasi: 1. Huimarisha afya ya moyo Tafiti zimeonyesha kuwa unywaji wa bia kwa kiasi unaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo. 2. Ina virutubisho muhimu Bia ina madini kama potassium, magnesium, selenium, na B-vitamins, hasa kutoka kwa shayiri na...
  10. Kasomi

    Shakira ndiye Malkia wa Nyimbo za Kombe la Dunia akihusika katika nyimbo 4 za kombe la Dunia

    Shakira amehusika katika nyimbo za Kombe la Dunia mara nne (4) hadi kufikia mwaka 2026, akirejea kama "Malkia wa Nyimbo za Kombe la Dunia". Hii hapa historia yake: 2006 (Ujerumani) Aliimba "Hips Don't Lie / Bamboo" kwenye sherehe za kufunga. 2010 (Afrika Kusini) Aliimba wimbo rasmi "Waka Waka...
  11. Kasomi

    Hizi hapa ni hatua za uhakika za kuzuia PC kutumia Data nyingi

    Hatua ya mwanzo kama umeweka windows mpya au OS nyingine hakikisha una updates kwanza PC kwenye mtandao imara kama sehemu za WiFi ya umma au ya office ambapo utatumia data nyingi. Kama tatizo linaendelea fuata hatua hizo 1- Zima Windows Updates. Nenda Settings > Update & Security > Windows...
  12. Kasomi

    Wahukumiwa Kulipa Faini Ya Sh. Milioni 6 Kwa Kushindwa Kutoa Risiti za EFD za Sh. 48,000/-

    Raia wa China Xu Fuyu mwenye umri wa miaka 39 na mfanyakazi wake wa mgahawa wa Kibonge uliopo Kariakoo Dar esSalaam, Blandina Mwalutola mwenye miaka 24 wamehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni sita au kifungo cha miaka mitatu jela kwa kushindwa kutoa risiti ya kielektroniki, baada ya kutoa...
  13. Kasomi

    TANZIA Mwanzilishi wa CNN Ted Turner Amefariki Dunia

    Ted Turner, gwiji wa vyombo vya habari na mfadhili aliyekuwa mwanzilishi wa CNN mtandao wa kwanza wa habari wa saa 24 uliobadili kabisa tasnia ya televisheni amefariki dunia kwa amani siku ya Jumatano, akiwa amezungukwa na familia yake, kulingana na taarifa kutoka Turner Enterprises. Alikuwa na...
  14. Kasomi

    Fahamu kuhusu Erotomania

    Erotomania ni ugonjwa wa akili huwapatao wanawake Ugonjwa huu ni ile hali ya mwanamke kujihisi kuwa yeye ni mzuri saana na kila mtu anampenda yeye kutokana na uzuri wake
  15. Kasomi

    Top 5 Tallest Buildings in the World 2026

    Top 5 Tallest Buildings in the World (as of 2026) 1- Burj Khalifa (Dubai, UAE): 828 meters (2,717 feet) - The undisputed tallest building, completed in 2010 with 163 floors. 2- Merdeka 118 (Kuala Lumpur, Malaysia): 678.9 meters (2,227 feet) - Completed in 2023, featuring a striking spire and...
  16. Kasomi

    TANZIA Msanii Spack afariki Dunia

    Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Selemani Mvamba almaarufu 'Spack', amefariki dunia leo Aprili 27, 2026 nyumbani kwake Chanika jijini Dar es Salaam alipokuwa anapoishi. Meneja wa msanii huyo Abdulrahman Hassan almaarufu Malefti amethitibitisha kifo cha msanii huyo aliyejipatia umaarufu mkubwa...
  17. Kasomi

    I can tz Ft Zeno tz - Haunipendi (Official Audio)

    Sikiliza wimbo wa I Can Tz Ft Zeno Tz - Haunipendi (Official Audio) Link zote za platform zipo hapa chini YouTube Boomplay https://www.boomplay.com/songs/250235595?srModel=COPYLINK&srList=WEB&share_content=music&share_channel=copylink&share_platform=web Spotify AudioMack...
  18. Kasomi

    Wachezaji wa Kandanda Wenye Thamani Zaidi Duniani 2005 - 2026

    Wachezaji wa Kandanda Wenye Thamani Zaidi Duniani toka mwaka 2005 hadi 2026 Tazama video hapa
  19. Kasomi

    Kona ya Mwalimu: Kwanini Unaweka Hali ya Ndoa kwenye CV Bila Kuombwa? Mwaajiri Anatafuta Mfanyakazi, si Mchumba

    KWANINI UNAWEKA HALI YA NDOA KWENYE CV BILA KUOMBWA? MWAAJIRI ANATAFUTA MFANYAKAZI, SI MCHUMBA. Huu ukweli watu wengi bado hawajaupokea. CV si fomu ya maisha yako yote. CV ni waraka wa kazi. Inapaswa kumwonesha mwajiri jambo moja tu, una uwezo gani na unafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu gani...
  20. Kasomi

    TANESCO: Mikoa kadhaa kukosa umeme kufuatia hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limetoa taarifa ya kuwepo kwa hitilafu ya dharura katika sehemu ya mfumo wa Gridi ya Taifa, hali iliyosababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika baadhi ya Mikoa nchini. Mikoa iliyoathirika ni pamoja na Dodoma, Njombe, Mbeya, Simiyu, Ruvuma, Geita, Shinyanga...
Back
Top