Kamekuwa na video Ikimuonyesha Mwanajeshi wa Jeshi la anga Captain Tesha akiongea kupitia Mitandao ya Kijamii na kuibua Hisia kuwa huenda Video hiyo (Picha Mjongeo) Imetengenezwa kwa Artificial Intelligence.
Sio kweli kama video hiyo Imetengenezwa kwa Akili Mnemba, hivyo video hiyo ni video...
Je AI itauwa ubunifu, ama kudhoofisha taaluma?
Tupo katika kipindi ambacho, tafiti nyingi zinahitajika kuhusu athari za AI kwenye ubunifu na taaluma.
Wakati calculator za kidijitali zilipoanza kutumika, baadhi ya watu walihofia kuwa hazitahitajika tena akili za wanahisabati. Wengine walihisi...
Mtanzania Noel Sebastian, ameunda mfumo wa Akili Unde wenye uwezo wa kutatua changamoto mbalimbali kama vile kuwaongoza watu wenye uoni hafifu au wasioona kabisa katika mambo mbalimbali.
Mambo hayo ni pamoja na kuwaongoza katika kusoma na kutembea huku ukielekeza njia za kupita, na kuainisha...