Advertise here

arusha

  1. Kasomi

    Muonekano wa Chuo cha Uhasibu Arusha - IAA

    Tazama video ya Muonekano wa Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA)
  2. Kasomi

    IAA Princess Yatwaa Ubingwa Ligi ya Wanawake Arusha

    IAA PRINCESS YATWAA UBINGWA LIGI YA WANAWAKE ARUSHA Timu ya soka ya wanawake ya Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA Princess) imetwaa ubingwa wa Ligi ya Wanawake ngazi ya Mkoa wa Arusha baada ya kuifunga Emayani Queens kwa bao 1–0 katika fainali iliyopigwa Mei 24, 2026 katika Uwanja wa Barafu, Mto wa...
  3. Kasomi

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeibuka kidedea katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu (SHIMIVUTA)

    IAA YANG'ARA SHIMIVUTA 2025 Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeibuka kidedea katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu (SHIMIVUTA) mkoani Tabora. Katika mashindano hayo IAA imefanikiwa kutwaa makombe 11 , moja likiwa ni la mshindi wa jumla (overall winner na 10 ni ya...
  4. Kasomi

    Jinsi ya Kujisajili kwenye Mfumo wa Chuo cha Uhasibu Arusha IAA kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza

    Maelezo Kuhusu Kujisajili kwenye Mfumo wa Chuo cha IAA kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza Kwa mwanafunzi mpya wa mwaka wa kwanza katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), unapaswa kujisajili rasmi kwenye mfumo wa chuo ili kuweza kukamilisha usajili kabla au baada ya kufika chuoni Ili kujisajili...
  5. Hospitality-Recruitment

    Eagle's Recruitment is Hiring for Assistant Lodge Manager 5* Game Lodge close to Arusha

    Assistant Lodge Manager. Newly built ultra luxury 5* Game Lodge - North Dolly - Tanzania. Our client in Tanzania is seeking a female Tanzanian National. To support the Camp Manager in the day-to-day operations of the camp, ensuring guest satisfaction, operational efficiency, staff...
  6. Kasomi

    JOB VACANCY: Cluster Sales Supervisor (2 Position) at Vodacom - Arusha

    📢 JOB VACANCY: CLUSTER SALES SUPERVISOR (2 Position) 📍 Location: Vodacom – Arusha 🕒 Deadline: 20th July 2025. Vodacom Tanzania is looking for a dynamic, self-driven, and qualified individual to join our Arusha Regional team as a Cluster Sales Supervisor Minimum Qualifications: ✅ Diploma or...
  7. Kasomi

    Gambo apigwa chini huku Makonda akipenya kuusaka Ubunge

    Katika mchakato wa ndani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwapata wagombea wa Ubunge, jina la Paul Makonda limepenya hatua ya awali ya mchujo ngazi ya wilaya ya Arusha. Kwa upande mwingine, jina la mpinzani wake wa muda mrefu, Mrisho Gambo, halikupitishwa katika ngazi hiyo ya wilaya — hali...
  8. Kasomi

    TANZIA William Bamaga Mwanafunzi wa Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) inadaiwa kuuliwa na Abeli kisa uhusiano wa mapenzi na mdogo wake

    HABARI Kijana anayejulikana kwa jina la Abel anadaiwa kumuua mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) aitwaye William Bananga (Pichani) akimtuhumu kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mdogo wake wa kike Inaelezwa kuwa jambo hilo lilimkasirisha na kumfanya achukue hatua za kumchoma kisu...
  9. Kasomi

    Programmes offered by Institution of Accountancy Arusha (IAA)

    Programmes offered by Institution SN, Programme Name and Level 1Business Management with Chinese LanguageNTA 4-6 2Records Archives and Information ManagementNTA 4-6 3Computer NetworkingNTA 4-6 4Mobile ApplicationsNTA 4-6 5Library and Information StudiesNTA 4-6 6Accountancy with Information...
  10. Kasomi

    Tanzania to build East Africa's largest conference centre in Arusha

    Tanzania 🇹🇿 to build East Africa’s largest conference centre in Arusha The facility will feature a large auditorium with a capacity of more than 5,000 people, a five-star hotel with 500 rooms, 10 presidential suites, a 20,000-square-metre commercial area, parking for 2,000 vehicles, and a...
  11. Kasomi

    Arusha Startup Ecosystem Engagement!

    Startup Ecosystem Engagement! Join industry leaders, entrepreneurs, and policymakers in Arusha as we collaborate to build a thriving startup landscape. 🔹 Engage in insightful discussions 🔹 Network with key stakeholders 🔹 Shape policies that drive innovation Register...
  12. Kasomi

    Sabaya Arudi Mahabusu

    Baada ya aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya wenzake na wenzake wawili Silvester Nyegu na Daniel Mbura kuachiwa huru kwenye kesi ya unyang'anyi wa kutumi silaha leo, wamerudishwa Mahabusu kwenye Gereza Kuu la Kisongo kutokana na kuwa na kesi nyingine ya uhujumu uchumi ambayo ilikuwa haina...
  13. Kasomi

    Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Mahakama Kuu ya Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa ya kupinga kuhukumiwa miaka 30 kwenda jela kila mmoja kwa sababu mbalimbali kwakuwa Mrufani namba mbili Silvester Nyegu na namba tatu Daniel Mbura hawakupewa haki ya...
Back
Top