Joel Nanauka Waziri wa Vijana Tanzania🇹🇿
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Joel Nanauka kuwa Waziri wa Vijana na hatokuwa na Naibu Waziri kwa sasa kwakuwa Wizara ipo chini ya Ofisi ya Rais na watakuwepo wa kumsaidia.
Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteuwa aliyekuwa Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Mapema ya leo Novemba 13.2025 Mpambe (ADC) wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...