Kasomi JT Founder Nov 17, 2025 #1 Joel Nanauka Waziri wa Vijana Tanzania Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Joel Nanauka kuwa Waziri wa Vijana na hatokuwa na Naibu Waziri kwa sasa kwakuwa Wizara ipo chini ya Ofisi ya Rais na watakuwepo wa kumsaidia.
Joel Nanauka Waziri wa Vijana Tanzania Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Joel Nanauka kuwa Waziri wa Vijana na hatokuwa na Naibu Waziri kwa sasa kwakuwa Wizara ipo chini ya Ofisi ya Rais na watakuwepo wa kumsaidia.