diego

  1. Kasomi

    Chanzo cha ajali ya Diego Jota chabainika

    Polisi nchini Uhispania wamesema sababu ya ajali iliyopelekea kifo cha nyota wa Liverpool, Diogo Jota na ndugu yake Andre Silva ni mwendo kupita kiasi wakiwa na gari lao aina ya lamborghini lililolipuka kaskazini-magharibi mwa mkoa wa Zamora, Alhamis ya Julai 3 2025. Ripoti ya askari wa...
  2. Kasomi

    Historia ya Diego Jota Nyota aliyeng'aa na Kuzimika ghafla

    HISTORIA YA DIEGO JOTA NYOTA ALIYENG'AA NA KUZIMIKA GHAFLA Katika viunga vya Massarelos, mjini Porto nchini Ureno, mnamo tarehe 4 Desemba 1996, alizaliwa mvulana aliyepewa jina Diogo José Teixeira da Silva, ambaye baadaye ulimwengu ulimfahamu kwa jina la kisoka Diogo Jota. Kutoka akiwa mtoto...
  3. Kasomi

    Chozi la DIEGO FRAZAO TORQUATO liliobaki kuwa alama ya Tumaini

    Chozi la DIEGO FRAZAO TORQUATO liliobaki kuwa alama ya Tumaini Picha uionayo ni ya kijana mpiga fidla aliyeitwa Diego Frazão Torquato aliyezaliwa mwaka 1997 katika makazi duni ya Para de lucas......Duque de Caxias nje kidogo ya jiji la Rio de Janeiro huko nchini Brazil Para de Lucas ni makazi...
Back
Top