Advertise here

dizasta vina

  1. Kasomi

    Uchambuzi wimbo wa Dizasta Vina Ft. Dash - Mwanajua

    Wimbo huu wengi wamekuwa wakihusisha kuwa ulikuwa unaielezea Clods Media, wengine Wakisema Luge Mutahaba na wengine wakisema ni JPM (John Pombe Magufuli) kwamba hapo wimbo ulitoka kabla ya Magufuli kufariki ila ni kama alitabiri yatakayo tokea kwa sababu alieleza sifa zake zote. Lakini kwa...
  2. Kasomi

    Dizasta Vina - Theluji Lyrics

    Dizasta Vina - Theluji Lyrics Lyrics: ======= Anachota kwa vidole viwili Anachemsha kwa kijiko inanawili Inakuwa nyevu, anachukua bomba la sindano anaivuta Inajaa kisha anadunga mwili Akili inahama anaita stimu Ladha tofauti, sawa na sukari na ndimu Kila stimu ikiisha anajiongezea Anazoea...
  3. Kasomi

    Shahidi lyrics - Dizasta vina

    Sing: Shahidi by Dizasta vina Nilipanda kwenye jukwaa/ Watu walinishangaa/ Unadhifu wa meli haukufanana na nilivyovaa/ Kabla sijatoa salamu... Walipoteza hamu ya kuburudika wengine wakaanza kusambaa/ Nilikuwa na nywele nyingi/ Zilionesha pia siku ni nyingi/ Tangu mara ya mwisho ziwekwe MAJI/...
  4. Kasomi

    Biashara ya kuuza matumaini - By Dizasta Vina

    Biashara ya kuuza matumaini Posted by : Dizasta Vina HITAJI LA MATUMAINI LINAMEA. Mwaka 2010 aliyekuwa Askofu mstaafu wa kanisa la kilutheri Tanzania (ELCT), marehemu Ambilikile Mwasapile alitangaza kuwepo kwa dawa inayotibu magonjwa yote ikiwamo magonjwa sugu kama Kisukari, Kansa na Kifua...
  5. Kasomi

    Dizasta Vina; Nilipata wasaa wa kuangalia filamu kadhaa mwaka 2024 na hizi ni 5 zilizonivutia zaidi

    FILAMU Nilipata wasaa wa kuangalia filamu kadhaa mwaka 2024 na hizi ni 5 zilizonivutia zaidi. 1. 12 angry men ya mwaka 1957 Filamu inahusu baraza la waamuzi 12 waliopewa jukumu na mamlaka ya kuamua kesi ya kijana aliyetuhumiwa kumuua mzazi wake. Kesi iliyoonekana ni ya dakika kadhaa tu kwa...
  6. Kasomi

    Dizasta Vina; Mwaka 2024 nilisoma vitabu vitatu na hii ndio review yangu kwa ufupi kwa kila kimoja

    VITABU Mwaka huu nilisoma vitabu vitatu na hii ndio review yangu kwa ufupi kwa kila kimoja. 1. Ujamaa - Essay on Socialism - The late Julius K. Nyerere Kitabu kilichapichwa kwa mara ya kwanza mwaka 1961, na kufanyiwa marejeo mara kadhaa na baadaye kutafsiriwa kwa lugha ya kiingereza mwaka 1968...
Back
Top