Advertise here

google

  1. Raven

    Google Maps OSINT

    Google Maps OSINT Google Maps ni app inayomsaidia mtu kujua yupo sehemu gani duniani kwa msaada wa teknolojia ya GPS ambayo sensor yake huwa ipo ndani ya kifaa chake cha ki-electronic (simu, computer, tablet au gari) Google Maps inasaidia pia kufahamu directions ikiwa unataka kwenda sehemu...
  2. Kasomi

    Hii ni baadhi ya Michezo ya Google (Google Tricks)

    1- cha cha slide Tafuta “cha-cha slide”au "cha cha slide" na bonyeza ikoni ya spika pembeni juu kulia Google hufanya “dance moves” kwenye skrini kwa kila hatua ya wimbo hivyo endelea kubonyeza kwa kila umbo linalo tokea 2- do a barrel roll au Z or R twice Ukitafuta neno "Z or R twice" kwenye...
  3. Kasomi

    Ingia Google Search 67 Kisha nipe mrejesho

    Ingia Google Search 67 Kisha nipe mrejesho
  4. Kasomi

    is 2026 next year? Gemini yashindwa kutambua

    Ukiingia Google na kuandika is 2026 next year? Google Gemini inakataa lakini kwenye maelezo inakubali. Je, hii model ya Gemini haipo sawa? Unaweza jaribu hii nimejaribu mara kadhaa
  5. Kasomi

    Sanmay Ved mfanyakazi wa zamani wa Google ambaye alinunua domain ya google.com kwa $12 (25,000tsh)

    Mwaka 2015, tukio lisilo la kawaida lilitokea kwenye dunia ya teknolojia. Sanmay Ved, mfanyakazi wa zamani wa Google, aligundua kuwa jina la tovuti Google.com—moja ya mali muhimu zaidi za kidigitali duniani—lilikuwa inauzwa kwenye Google Domains. Cha kushangaza, bei yake ilikuwa dola 12...
  6. Kasomi

    Njia za Kupata Pesa Kupitia Google Adsense Kwa Tanzania

    Google Adense ni nini Kwanza tuanzie mbali kidogo, kama wewe ni mgeni lazima unajiuliza Google Adsense ni nini..? Adsense au Google Adsense hii huduma ambayo inatolewa na Google kwajili ya wabunifu wa mauthui mtandaoni pamoja na wabunifu wa programu na tovuti kuweza kupata pesa kutokana na kazi...
  7. Kasomi

    Google yamuomba Trump kubatili agizo la kuuza Chrome

    GOOGLE YAMUOMBA TRUMP KUBATILI AGIZO LA KUUZA CHROME Google inafanya juhudi za mwisho kuzuia hatua ya kulazimishwa kuuza kivinjari chake maarufu, Google Chrome. Kampuni hiyo imeiomba serikali ya Trump kubatilisha agizo hilo lililotolewa chini ya utawala wa Biden, ikidai kuwa linaweza...
  8. Kasomi

    ChatGPT imeweka sehemu mpya ya ChatGPT Search

    ChatGPT imeweka sehemu mpya ya ChatGPT Search ambayo itakuwa inafanana na Google kwa kusaidia kutafuta vitu mtandaoni lakini kwa kutumia akili bandia. Mwanzo wa mwaka huu tuliwahi kutoa tetesi kuwa OpenAI na mpango wa kuweka mfumo ambao utashindana na Google. Mwezi Oktoba ikaanzisha rasmi...
  9. Kasomi

    Google imelazimishwa iuze browser yake ya Chrome na kuwekewa vikwazo vya kumiliki Android

    Idara ya Sheria ya Marekani (DoJ) imependekeza kwamba Google iuze browser yake ya Chrome na kuwekewa vikwazo kwenye mfumo wa Android kama sehemu ya mpango wa kuivunja na kuipunguza nguvu kampuni ya Google/Alphabet. Uamuzi huu unakuja baada ya jaji wa shirikisho kuamua kuwa Google ni kampuni ya...
  10. Kasomi

    Jinsi ya kuweka nakala rudufu za WhatsApp kwenye Hifadhi ya Google

    Ili kuweka nakala rudufu kwenye Hifadhi ya Google, utahitaji: Akaunti ya Google inayofanya kazi kwenye kifaa chako. Huduma za Google Play iwe imesakinishwa kwenye kifaa chako. Hii ni programu inayotumika kusasisha programu za Google na programu kutoka kwenye Duka la Google Play. Nafasi ya...
  11. Kasomi

    Fahamu kuhusu Google data center (sehemu ya kuhifadhi data za Google)

    Hiyo ndio sehemu ya Google ambayo hutumika kuhifadhia data zote za internet inaitwa Google data center. Unaambiwa hapo kwa kila sekunde wanapata maombi zaidi ya watu 63,000 na 5.6 bilioni kwa siku wanaotafuta data fulani kutoka sehemu zote Duniani Ata hii post au hiyo comment yako tayari ipo...
  12. Kasomi

    Google Translate yaongeza Lugha 24 zikiwemo 10 za Afrika

    Google imeongeza Lugha mpya 24 zinazozungumzwa na watu zaidi ya Milioni 300 katika Jukwaa lake la Tafsiri za Lugha 'Google Translate'. Idadi hiyo itafanya Lugha zilizopo ikiwemo Kiswahili kufikia 133 Inaelezwa kuwa kati ya Lugha zinazoongezwa, 10 zinatokea Barani Afrika. Kampuni hiyo imesema...
Back
Top