Advertise here

idadi

  1. Kasomi

    Nchi 10 zenye idadi kubwa ya Simba Duniani

    Nchi 10 zenye idadi kubwa ya Simba Duniani 1. Tanzania: 14,500 2. Afrika Kusini: 3,284 3. Botswana: 3,063 4. Kenya: 2,515 5. Zambia: 2,349 6. Zimbabwe: 1,362 7. Ethiopia: 1,239 8. Sudan Kusini: 866 9. Namibia: 801 10. Msumbiji: 678 Chanzo: World Population Review
  2. Kasomi

    Tanzania Nchi ya 5 kwa idadi ya Watu wengi Afrika

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watu barani Afrika. Kwa mujibu wa makadirio ya sensa na takwimu za Umoja wa Mataifa (UN World Population Prospects, 2025), Tanzania inashika nafasi ya 5 kwa idadi ya watu Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi Afrika (takribani 2025): Tanzania...
  3. Kasomi

    Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya mamilionea wa dola 2025

    Afrika imeelezwa kuwa moja ya kanda zinazokua kwa kasi zaidi katika ustawi binafsi duniani, licha ya baadhi ya nchi kubwa kukabiliwa na changamoto za mgawanyo wa kipato na mali. Kwa mujibu wa Ripoti ya Utajiri Afrika 2025 iliyotolewa na Henley & Partners kwa kushirikiana na New World Wealth...
  4. Kasomi

    Nchi 10 Afrika Zenye Idadi Kubwa ya Waislamu

    NCHI 10 AFRIKA ZENYE IDADI KUBWA YA WAISLAMU 1. Nigeria– Waislamu takribani milioni 105 2. Misri (Egypt)– Waislamu takribani milioni 90 3. Ethiopia– Waislamu takribani milioni 35 4. Algeria – Waislamu takribani milioni 39 5. Sudan– Waislamu takribani milioni 38 6. Morocco– Waislamu takribani...
  5. Kasomi

    Nchi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Kuliko Wanaume Duniani

    Nchi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Kuliko Wanaume Duniani Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, kuna baadhi ya nchi na maeneo duniani ambayo yana asilimia kubwa ya wanawake katika idadi ya watu wake. Hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile urefu wa maisha kwa wanawake, vifo vya wanaume...
  6. Kasomi

    Ongezeko la idadi ya laini za simu kwa ajili ya mawasiliano ya watu (P2P) zilizo sajiliwa

    📌Ongezeko la idadi ya laini za simu kwa ajili ya mawasiliano ya watu (P2P): Laini za simu za mkononi na mezani zilizosajiliwa kwaajili ya matumizi ya watu zimeongezeka kwa takribani milioni 6.5 katika robo ya mwaka iliyoishia Septemba 2025. Ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya Septemba...
  7. Kasomi

    SENSA 2022: Idadi ya Watu Tanzania imefikia milioni 61,741,120

    Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120. Watu 59,851,347 wapo Tanzanzia bara na 1,889,773 Tanzania zanzibar. Wanawake wapo 31,687,990 sawa na asilimia 51 ya watu wote na wanaume ni 30,530,130 sawa na asilimia 49 ya watu wote. Kati ya mwaka 2012 hadi 2022, ongezeko la watu ni 19,812,197 sawa na...
  8. Kasomi

    SENSA 2022: Idadi ya Watu Tanzania imefikia milioni 61,741,120

    Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120. Watu 59,851,347 wapo Tanzanzia bara na 1,889,773 Tanzania zanzibar. Wanawake wapo 31,687,990 sawa na asilimia 51 ya watu wote na wanaume ni 30,530,130 sawa na asilimia 49 ya watu wote. Kati ya mwaka 2012 hadi 2022, ongezeko la watu ni 19,812,197 sawa na...
Back
Top