Kasomi
JT Founder
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watu barani Afrika. Kwa mujibu wa makadirio ya sensa na takwimu za Umoja wa Mataifa (UN World Population Prospects, 2025), Tanzania inashika nafasi ya 5 kwa idadi ya watu Afrika.
Nchi 10 zenye watu wengi zaidi Afrika (takribani 2025):
Tanzania inaendelea kuwa na ongezeko kubwa la watu kila mwaka, hasa kutokana na viwango vya juu vya uzazi.
Chanzo cha takwimu: World population review