Jewajua..
→✏Nyanya ndo tunda Maarufu zaidi Duniani. Ndizi sio tunda ni mtishamba{Herbs}.
→✏Kila Bara linaishia na Herufi iliyoanza nayo mwanzo, mfano: Africa,Europe,Asia.. [*Kwa Kingereza lakini]
→✏Maji huwa hayaexpire, expire date ni ya Chupa.
→✏Asali ndo Chakula Pekee Kisichoharibika...