Kasomi JT Founder Jan 11, 2026 #1 Noti kubwa ilikuwa Tsh 100 wakati Mwinyi anaingia madarakani. Miaka 9 baadaye tayari noti kubwa ikawa Tsh 10,000 na Tsh 100 ikawa sarafu ambayo inatumika mpaka sasa kama sarafu Hii ni noti ya Tsh. 100 ya zamani Hii ni noti ya 10,000 ya zamani Na hii ndio Tsh.10,000 ya sasa
Noti kubwa ilikuwa Tsh 100 wakati Mwinyi anaingia madarakani. Miaka 9 baadaye tayari noti kubwa ikawa Tsh 10,000 na Tsh 100 ikawa sarafu ambayo inatumika mpaka sasa kama sarafu Hii ni noti ya Tsh. 100 ya zamani Hii ni noti ya 10,000 ya zamani Na hii ndio Tsh.10,000 ya sasa