JamiiTalk imefanya mabadiliko ya Logo yake ambayo inatumika kama Favikoni.
Hii ni logo iliyokuwa ikitumika awali
Na hii ni logo mpya ambayo itatumika pia kama Favikoni (favicon)
Hayo ni mabadiliko machache yaliyofanyika. Lakini Logo yake yenye Neno JamiiTalk itaendelea kutumika kama...
Leo tunasherehekea mafanikio ya JamiiTalk tangu ilipoanzishwa miaka 4 iliyopita! 🎂🚀
JamiiTalk ilianshishwa Tarehe 22/03/2022.
Kwa kipindi hiki kifupi, JamiiTalk imeweza kuwa jukwaa maarufu la kujifunza, kubadilishana mawazo, na kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu na mawasiliano kwa...
JamiiTalk ni jukwaa mtandaoni lililopo nchini Tanzania ambalo linawezesha watu kujadili na kubadilishana mawazo kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu jamii, biashara, elimu, na mambo mengine ya kijamii. Jukwaa hili linawezesha watu kutengeneza akaunti zao na kushiriki katika mabaraza ya...
Wana bodi ili kuifanya JT kuwa salama, rahisi kutumia na kupata mijadala kuna baadhi ya hatua tumezifanya (Tumeongeza na kuboresha).
Baadhi ya maboresho hayo ni;
1- kuwezesha hatua ya njia mbili za uthibitisho (Two-step verification)
NJia hii inafanya akaunti yako kuwa salama na kuepuka...
I take this opportunity to thank and congratulate everyone who decided to join this Platform.
This is designed to be a platform that will tape JamiiTalker's potentials towards our national development.
I plead to all minded JamiiTalkers within and outside the country to contribute to this...
Hello JT users,
Bila shaka mupo wazima wa Afya tele. Leo nitawajuza jinsi ya kupata taarifa mfano mtu aki jibu ujumbe wako, aki react, au akikutumia ujumbe binafsi (PM) ukiwa nje ya JT, lakini hii itawahusu Zaidi Watumiaji wa Google Chrome (japo na browser yingine zinaweza support).
Cha...
Start a free chat anytime and anywhere
Whether you want to send messages or share photos and videos, you can chat freely through JamiiTalk. Wherever you go, you can immediately get in touch with the people you care about using JamiiTalk