Advertise here

Congratulations Happy Birthday JamiiTalk: Celebrating 4 years of success

JamiiTalk

Official Support Account
Leo tunasherehekea mafanikio ya JamiiTalk tangu ilipoanzishwa miaka 4 iliyopita! 🎂🚀
Gold Minimalist Company Anniversary Poster_20260311_231005_0000.png

JamiiTalk ilianshishwa Tarehe 22/03/2022.

Kwa kipindi hiki kifupi, JamiiTalk imeweza kuwa jukwaa maarufu la kujifunza, kubadilishana mawazo, na kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu na mawasiliano kwa kuunganisha Jamii pamoja. Tunashukuru kwa msaada wenu wa dhati na ushirikiano mlioutoa, na tunapenda kuendelea kutoa huduma bora zaidi kwa jamii yetu.

Tumejivunia kuona watu wengi wakinufaika na huduma zetu, na kwa miaka mingine ijayo, tunatarajia kuendelea kutoa maudhui bora, kujifunza, na kujenga jamii yenye manufaa kwa kila mtu.

✨ Tunashukuru kwa kuwa sehemu ya safari hii ya JamiiTalk. ✨

Tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora, kuimarisha maudhui, na kukuza elimu kwa njia ya kisasa. Asante kwa kuendelea kuwa sehemu ya familia yetu ya JamiiTalk!

#JamiiTalk #Elimu #Mawasiliano #Sherehe #Mafanikio #Mi4yaJamiiTalk
 
Back
Top