Advertise here

julius marwa

  1. Kasomi

    "Wanawake wananisumbua kimapenzi" - Giant Julius

    "Wanawake wananisumbua kimapenzi" - Giant Julius Mtanzania mrefu kuliko wote Africa Mashariki The Giant Julius ameweka wazi kusumbuliwa kimapenzi na wanawake kutokana na umbo lake la urefu. Giant Julius mwenye urefu wa futi 7.5 anasema wanawake wanaopenda wapo wengi pia wapo baadhi...
  2. Kasomi

    Mfahamu Julius Marwa; Mwanaume mrefu Zaidi Tanzania ( ana urefu wa futi 7.5)

    MJUE JULIUS MARWA MWENYE UREFU WA FUTI 7.5: Si ajabu kusikia katika majarida mbalimbali zikiwekwa picha za watu warefu zaidi duniani na hata wafupi zaidi lakini kwa Tanzania kama utazungumzia watu warefu huwezi kuacha kumtaja Julius Marwa mwenye urefu wa futi 7.5 akiwa na miaka 29 (miaka ya...
Back
Top