Kasomi
JT Founder
"Wanawake wananisumbua kimapenzi" - Giant Julius
Mtanzania mrefu kuliko wote Africa Mashariki The Giant Julius ameweka wazi kusumbuliwa kimapenzi na wanawake kutokana na umbo lake la urefu.
Giant Julius mwenye urefu wa futi 7.5 anasema wanawake wanaopenda wapo wengi pia wapo baadhi wanamuogopa.
Pia soma Mfahamu Julius Marwa Mwanaume mrefu Zaidi Tanzania
Chanzo: EATV