Maandiko yanasemaje kuhusu utoaji wa mahari katika ndoa
Kuna maswali kadhaa ambayo baadhi ya watu huulizana mara kwa mara.
Mifano: Je ulipwaji wa mahari ina ulazima wowote? Je ni agizo la kibiblia? Na kama ni hivyo, je Adamu alitoa mahari kwa nani ili ampate Hawa?
Mahari ni zawadi ya harusi...
Bao Bora la Scott McTominay limewekwa katika noti ya £20:
Bao alilofunga Scott McTominay ambalo limewafanya wafuzu kucheza mashindano ya FIFA World Cup Kwa mara ya kwanza tangu 1998 limewekwa rasmi katika noti rasmi itakayotumika nchini Scotland 🏴.
Benki kuu ya Scotland imethibitisha...
Shakira amehusika katika nyimbo za Kombe la Dunia mara nne (4) hadi kufikia mwaka 2026, akirejea kama "Malkia wa Nyimbo za Kombe la Dunia".
Hii hapa historia yake:
2006 (Ujerumani)
Aliimba "Hips Don't Lie / Bamboo" kwenye sherehe za kufunga.
2010 (Afrika Kusini)
Aliimba wimbo rasmi "Waka Waka...
Kwa nini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa?
Hebu turejee maandiko katika kitabu cha Mwanzo 9:
20 “Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake...
Graça Machel ndiye mwanamke pekee katika historia ya kisasa aliyewahi kuolewa na marais wawili tofauti na kuwa Mama wa Taifa wa nchi mbili tofauti. Awali, aliolewa na Rais wa Msumbiji, Samora Machel, mwanaume aliyeshiriki naye ndoto ya ukombozi na maendeleo ya taifa. Baada ya kifo cha...
NYONGEZA KATIKA HISTORIA YA NG'WANAMALUNDI KUTOKA KATIKA NILIYOSIMULIWA NA WAZEE WANAGU.
Anaandika Faida Potea,
Sijui tuseme ni asili au ndiyo mambo ya kizungu yametutawala, miaka ya nyuma hasa huku usukumani ilikuwa ni kawaida mkimaliza kula chakula cha usiku babu au baba ni lazima awasimulie...