Advertise here

kwanza

  1. Kasomi

    Elon Musk awa Trilionea wa kwanza duniani

    Tajiri namba moja dunianni Elon Musk amevunja rekodi mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza duniani kufikia utajiri wa trilioni moja ya dola. Hii imetokana na kupanda kwa asilimia 25 kwa thamani ya hisa za kampuni yake ya SpaceX siku ya Ijumaa, mara tu zilipoanza kuuzwa. Bei ya hisa ilipanda kutoka...
  2. Kasomi

    Misri imekuwa ni Timu ya kwanza kutinga hatua ya Mtoano AFCON

    Timu ya Taifa ya Misri imekuwa ni timu ya kwanza kutinga hatua ya mtoano ya timu 16 bora katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Afrika Kusini katika mchezo wa Kundi B uliochezwa mjini Agadir, Morocco jioni ya leo. Shujaa wa ushindi huo ni...
  3. Kasomi

    Haya Hapa Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026

    Kuona Orodha Ya Wanafunzi Waliopangwa Kwenda Shule Moja Chagua Mkoa Ulikosoma BOFYA HAPA
  4. Kasomi

    Sheria ya kwanza kwenye kitabu cha 48 Laws of Power cha Robert Greene kinasema Never Outshine the Master yaani Kamwe Usiwahi kumfunika bosi wako

    Sheria ya 1 ya kutoka kwenye kitabu cha "48 Laws of Power" kilichoandikwa na Robert Greene inasema "Never Outshine the Master" yaani kamwe ( Usiwahi kumfunika bosi wako) Kamwe usijaribu kuonekana una akili, uwezo, au mafanikio zaidi ya mtu aliye juu yako, iwe ni bosi wako kazini, kiongozi, au...
  5. Simulizi

    SIMULIZI: MAMA MKWE MCHAWI

    SIMULIZI: MAMA MKWE MCHAWI SEHEMU YA KWANZA (01) "Hivi we mwanamke mie kila siku niwe naongea tu, naongea ili unifanye nionekane mbaya kwa majirani sindio?" Bwana Brison Aidan aliuliza kwa ukali punde baada ya kufunua Hotpot ya chakula alicholetewa na mke wake Bi Paulina, mkewe alistaajabu kwa...
Back
Top