Elon Musk awa Trilionea wa kwanza duniani

Kasomi

JT Founder
1000737359.jpg

Tajiri namba moja dunianni Elon Musk amevunja rekodi mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza duniani kufikia utajiri wa trilioni moja ya dola.

Hii imetokana na kupanda kwa asilimia 25 kwa thamani ya hisa za kampuni yake ya SpaceX siku ya Ijumaa, mara tu zilipoanza kuuzwa.

Bei ya hisa ilipanda kutoka dola 150 hadi karibu dola 169, hali iliyoinua thamani ya kampuni kufikia dola trilioni 2.21. Kwa mujibu wa Forbes, ongezeko hilo limemfanya Musk, ambaye pia anaongoza Tesla, kufikia utajiri wa takriban dola trilioni 1.1
 
Back
Top