Advertise here

magufuli

  1. Kasomi

    TANZIA Mama mzazi wa Magufuli Afariki Dunia

    Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Suzana Magufuli amefariki dunia leo Mei 25, 2026, Chato Mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mrefu. Akizungumza na AyoTV kwa njia ya simu, Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli...
  2. Kasomi

    Kumbukizi ya Miaka 5 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021)

    Kumbukizi ya Miaka 5 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021) Miaka mitano imepita tangu ulipotutoka, lakini alama ulizoacha bado zinang'ara. Uongozi wako wa uadilifu, uzalendo, na bidii vitadumu mioyoni mwetu. Ulisimama imara kwa maendeleo ya taifa, ukahamasisha uchapakazi kwa kauli...
  3. Kasomi

    Jesca Magufuli ajitosa Ubunge viti maalum

    Jesca Magufuli ambaye ni Mtoto wa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. John Pombe Magufuli, leo June 28 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa. Jesca ni Binti ambaye amejipambanua kama sauti ya matumaini kwa Vijana na...
  4. Kasomi

    Ukitaka kupiga picha daraja la JP Magufuli uombe kibali

    WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Wananchi, wataruhusiwa kupiga picha au kurekosi video katika Daraja la JP Magufuli (Kigongo–Busisi) lakini ni lazima kuomba kwanza kibali rasmi kutoka Wizara ya Ujenzi. Waziri Ulega amezungunza hayo leo Alhamisi, Juni 19, 2025 jijini Mwanza katika hafla...
  5. Kasomi

    Kumbukizi ya Miaka 4 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021)

    Kumbukizi ya Miaka 4 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021). Miaka minne imepita tangu ulipotutoka, lakini alama ulizoacha bado zinang'ara. Uongozi wako wa uadilifu, uzalendo, na bidii vitadumu mioyoni mwetu. Ulisimama imara kwa maendeleo ya taifa, ukahamasisha uchapakazi kwa kauli...
  6. Kasomi

    Matembezi ya Amani ya kumuenzi Hayati DKT. John Pombe Magufuli

    Familia ya Hayati Rais John Pombe Magufuli ikiongozwa na Mtoto wa Dr. Magufuli aitwaye Jesca Magufuli, imeongoza maandamano ya amani jana March 16 2025 Chato, Geita kumuenzi Hayati Magufuli na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza na kukamilisha miradi iliyoanzishwa na Hayati...
  7. Kasomi

    Historia ya Dkt John Pombe Magufuli

    WASIFU WA JOHN POMBE MAGUFULI Taaluma yake; Dkt, John Joseph Pombe Magufuli ni mwalimu na mtalaamu wa kemia akiwa na Shahada ya Uzamivu (PhD). Kuzaliwa Alizaliwa Oktoba 29 mwaka 1959 huko Katoma tarafa ya Bugando wilayani Geita jimbo la Geita vijijini. Kipindi hicho Geita ikiwa ni moja ya...
Back
Top