Kasomi
JT Founder
Kumbukizi ya Miaka 4 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021).
Miaka minne imepita tangu ulipotutoka, lakini alama ulizoacha bado zinang'ara. Uongozi wako wa uadilifu, uzalendo, na bidii vitadumu mioyoni mwetu. Ulisimama imara kwa maendeleo ya taifa, ukahamasisha uchapakazi kwa kauli yako maarufu ‘Hapa Kazi Tu!’
Leo tunakuenzi kwa upendo na heshima, tukikumbuka maono yako kwa Tanzania yenye uchumi imara na maendeleo kwa wote. Daima tutakuenzi na kuendelea kuthamini mchango wako.
Pumzika kwa amani, Kiongozi wa Wanyonge.
Soma historia ya Magufuli