FAHAMU KUHUSU MAJIMBO MAKUU KATOLIKI TANZANIA.
1. Jimbo Kuu Katoliki Dodoma.
Jimbo Katoliki Dodoma lilipandishwa hadhi na kuwa Jimbo Kuu tarehe 6.11.2014. Jimbo Kuu Dodoma linajumuisha majimbo matatu ambayo ni; Singida, Kondoa na Dodoma lenyewe. Askofu Mkuu ni Askofu Beatus Kinyaiya wa Dodoma...