Kasomi
JT Founder
FAHAMU KUHUSU MAJIMBO MAKUU KATOLIKI TANZANIA.
1. Jimbo Kuu Katoliki Dodoma.
Jimbo Katoliki Dodoma lilipandishwa hadhi na kuwa Jimbo Kuu tarehe 6.11.2014. Jimbo Kuu Dodoma linajumuisha majimbo matatu ambayo ni; Singida, Kondoa na Dodoma lenyewe. Askofu Mkuu ni Askofu Beatus Kinyaiya wa Dodoma.
2. Jimbo Kuu Katoliki Songea.
Jimbo Kuu Katoliki Songea lilipandishwa hadhi ja kuwa Jimbo Kuu tarehe 18.11.1987 kwa hati Christi Domini ya Papa Yohane Paulo wa Pili. Jimbo Kuu la Songea linajumuisha Majimbo sita ambayo ni; Njombe, Mbinga, Tunduru Masasi Mtwara, Lindi na Songea yenyewe. Askofu Mkuu ni Askofu Damian Dallu wa Songea.
3. Jimbo Kuu Mbeya.
Jimbo Kuu Katoliki Mbeya lilipandishwa hadhi na kuwa Jimbo Kuu tarehe 21.12.2018, Jimbo Kuu la Mbeya linajumuiya majimbo matatu ambayo ni; Sumbawanga, Iringa na Mbeya yenyewe. Askofu mkuu ni Askofu Gervas Nyaisonga wa Mbeya.
4. Jimbo Kuu Tabora.
Jimbo Kuu Tabora lilipandishwa hadhi na kuwa Jimbo Kuu tarehe 25.03.1953 Jimbo Kuu Tabora linajumuiya Majimbo manne ambayo ni; Kigoma, Kahama, Mpanda na Tabora yenyewe. Askofu Mkuu ni Askofu Paul Ruzoka wa Tabora.
5. Jimbo Kuu Mwanza.
Jimbo Kuu Mwanza lilipandishwa hadhi na kuwa Jimbo Kuu tarehe 18.11.1987, Jimbo Kuu Tabora linajumuiya majimbo nane ambayo ni; Kayanga, Bukoba, Rulenge Ngara, Geita, Bunda, Musoma, Shinyanga na Mwanza yenyewe. Askofu Mkuu ni Askofu Lenatus Nkwande.
6. Jimbo Kuu Arusha.
Jimbo Kuu Arusha lilipandishwa hadhi na kuwa Jimbo Kuu tarehe 16.03.1999, Jimbo Kuu Arusha linajumuisha majimbo manne ambayo ni; Mbulu, Moshi, Same na Arusha yenyewe. Askofu Mkuu ni Askofu Isaac Amani.
7. Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Jimbo Kuu la Dar es salaam lilipandishwa hadhi na kuwa Jimbo Kuu tarehe 25.03.1953, Jimbo Kuu la Dar es Salaam linajumuisha majimbo sita ambayo ni; Tanga, Ifakara, Mahenge, Morogoro, Zanzibar na Dar es Salaam. Askofu Mkuu ni Askofu Jude T. Ruwa'ich wa Dar es salaam.
===
Pia soma: Orodha ya Majimbo Katoliki Tanzania