Advertise here

Yafahamu Majimbo ya Kanisa Katoliki Tanzania

Kasomi

JT Founder
YAFAHAMU MAJIMBO YA KANISA KATOLIKI TANZANIA
1763637443372.jpg

1. Jimbo Kuu Katoliki Arusha

2. Jimbo Kuu Katoliki Dar er Salaam

3. Jimbo Kuu Katoliki Dodoma

4. Jimbo Kuu Katoliki Mbeya

5. Jimbo Kuu Katoliki Tabora

6. Jimbo Kuu Katoliki Mwanza

7. Jimbo Kuu Katoliki Songea

8. Jimbo Katoliki Bukoba

9. Jimbo Katoliki Bunda

10. Jimbo Katoliki Geita

11. Jimbo Katoliki Ifakara

12. Jimbo Katoliki Iringa

13. Jimbo Katoliki Kahama

14. Jimbo Katoliki Kayanga

15. Jimbo Katoliki Kigoma

16. Jimbo Katoliki Kondoa

17. Jimbo Katoliki Lindi

18. Jimbo Katoliki Mafinga

19. Jimbo Katoliki Mahenge

20. Jimbo Katoliki Mbinga

21. Jimbo Katoliki Mbulu

22. Jimbo Katoliki Morogoro

23. Jimbo Katoliki Moshi

24. Jimbo Katoliki Mpanda

25. Jimbo Katoliki Mtwara

26. Jimbo Katoliki Musoma

27. Jimbo Katoliki Njombe

28. Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara

29. Jimbo Katoliki Same

30. Jimbo Katoliki Shinyanga

31. Jimbo Katoliki Singida

32. Jimbo Katoliki Sumbawanga

33. Jimbo katoliki Tanga

34. Jimbo Katoliki Tunduru-Masasi

35. Jimbo Katoliki Zanzibar

Mungu libariki Kanisa Katoliki, Mungu ibariki Tanzania.
===
Pia Soma: Fahamu Kuhusu Majimbo Makuu Katoliki Tanzania

Chanzo: Radio Maria
 
Na hii ndio mikoa yenye jimbo zaidi ya moja
KAGERA
1. Jimbo katoliki la Kayanga
2.Jimbo katoliki la Rulenge
3.Jimbo katoliki la Bukoba

SHINYANGA
1.Jimbo katoliki la Shinyanga
2.Jimbo katoliki la Kahama

MARA
1.Jimbo katoliki la bunda
2.Jimbo katoliki la Musoma

MOROGORO
1.Jimbo katoliki la Morogoro
2. Jimbo katoliki la mahenge
3. Jimbo katoliki la Ifakara

IRINGA
1 Jimbo katoliki la Iringa
2. Jimbo katoliki la Mafinga

DODOMA
1.Jimbo kuu katoliki la Dodoma
2.Jimbo katoliki la kondoa

MOSHI
1.Jimbo katoliki la Moshi
2. Jimbo katoliki la Same

Yote katika yote Mkoa wa PWANI ndio mkoa pekee hapa Tanzania ambao hauna jimbo hadi sasa
 
Back
Top