maombi

  1. J

    Maombi Yetu kwa Mungu Hupitia Madarasa Yake

    Maombi Yetu kwa Mungu Hupitia Madarasa Yake Madarasa ya Mungu ni nini Haya ni mafunzo ya kiroho katika ulimwengu wa roho, yanayofanywa na Mungu mwenyewe. Hebu tuangalie Ezekiel 36:26-27: 26 Nami nitawapa ninyi moyo mpya, nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa moyo wa jiwe uliomo ndani...
  2. Kasomi

    Mhitimu aliyetuma maombi ya kazi 47 na kukosa yote aanza kuuza mkaa

    Mwanaume mmoja aitwaye Gal Gony Gatluak, mhitimu wa Shahada ya Uhasibu na Fedha, huko Sudan Kusini, amejikuta akiingia kwenye biashara ya uuzaji wa mkaa jijini Juba baada ya kutuma maombi ya kazi 47 bila mafanikio. Gony, mwenye umri wa miaka 38, anasema licha ya kuwa na uzoefu wa kazi katika...
  3. Kasomi

    Dirisha la maombi ya mikopo HESLB kufunguliwa Juni 15 Hadi Agosti 32 mwaka huu 2025

    UZINDUZI WA MIONGOZO YA MIKOPO YA ELIMU: DIRISHA LA MAOMBI KUFUNGULIWA JUNI 15 HADI 31, 2025 Serikali imetangaza kuwa miongozo ya mikopo ya elimu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 itapatikana katika lugha za Kiingereza na Kiswahili kwenye tovuti za Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  4. Kasomi

    HESLB: Tunatarajia kufungua dirisha la maombi ya Mkopo mwezi Juni, 2025 kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026

    "Tunatarajia kufungua dirisha la maombi ya mkopo mwezi Juni, 2025... kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 ... namba ya utambulisho wa taifa (NIN) itakuwa hitaji la lazima katika maombi ya mkopo ...waombaji wote wanapaswa kuwa na namba hii"
  5. Kasomi

    Fomu ya Maombi ya Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu 2025-2026 PDF

    Hii hapa Fomu ya Maombi ya Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu andika majina ya vyuo vitatu(3) unavyopenda kwenda kusoma kuendana na fani uliyochagua. Maelezo kuhusu fomu: 1. Fomu zitaanza kutolewa kuanzia tarehe 22/4/2025 na mwisho wa kuchukua na kurudisha Fomu nitarehe 20/6/2025 2. Matokeo ya...
  6. Kasomi

    Maelezo/Ndodoo Muhimu za Maombi ya Ajira Katika Mfumo; Ajira za Muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    MFUMO WA MAOMBI YA KAZI ZA UKARANI NA USIMAMIZI WA SENSA DONDOO ZA MAOMBI YA AJIRA KARIBU KATIKA MFUMO AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022. MAELEZO/ DODNDOO MUHIMU 1- Soma Tangazo la Ajira kwa umakini, kabla ya kutuma maombi. 2- Hakikisha Taarifa zote...
Back
Top