Saikolojia: Ukimpenda mtu ni ngumu kuacha kumpenda.
Mapenzi huchochea sehemu ya ubongo inayohusika na uraibu.
Homoni za Dopamine na Oxytocin hutengeneza "tuzo" ya kihisia, hivyo unapojaribu kuacha, ubongo unapata hali ya "withdrawal" (shauku kali ya kuzidi kumtaka huyo mtu) sawa na mtu...
Mwanahisabati Bobby Seagull ni mvumbuzi wa fomula ya Kufanikiwa kwa Mapenzi ya Mbali
How to measure your long-distance love index:
Long Distance Loves Mathematic Formula
v = visits per month (e.g. 2.84)
mₙ = normalised miles travelled (actual ÷ “too far” threshold) e.g 171 ÷ 256 ≈ 0.67...
HABARI Kijana anayejulikana kwa jina la Abel anadaiwa kumuua mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) aitwaye William Bananga (Pichani) akimtuhumu kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mdogo wake wa kike
Inaelezwa kuwa jambo hilo lilimkasirisha na kumfanya achukue hatua za kumchoma kisu...