Lionel Andrés Messi (matamshi ya Kihispania: [ljonel andɾes mesi]; alizaliwa 24 Juni 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina anayecheza katika klabu ya Inter Miami iliyopo nchini Marekani na timu ya taifa ya Argentina.
Lionel Andrés Messi alizaliwa tarehe 24 Juni 1987 huko Rosario, ni...
MICHEZO Rais wa klabu ya Barcelona, Joan Laporta amethibitisha kuwa winga wao Lamine Yamal atavaa jezi namba 10 kuanzia msimu wa 2025-2026 baada ya kumuongezea mkataba wa kuendelea kusalia katika klabu hiyo hadi 2031.
Yamal ambaye ametimiza umri wa miaka 18 Julai 13 2025 anarithi jezi hiyo...
MICHEZO: Lionel Messi na Luis Suárez wamethibitisha kuanzisha klabu yao inayoitwa Deportivo LSM, timu hiyo itaanza kushiriki mashindano katika daraja la nne nchini Uruguay.
Nembo ya klabu ya LSM inaunganisha chapa binafsi za majina ya nyota hao wawili.
Suarez alitangaza siku ya Jumanne kwamba...
DODOMA: Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kutumia watu maarufu kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo hapa nchini.
-
Akizungumza wakati akichangia hoja kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii amesema kuwa ili kuongeza...
Argentina inafikiria kuweza sura ya mshambuliaji Lionel Messi kwenye noti za Nchi hiyo baada ya mshindi huyo mara 7 wa Ballon d'or kuiongoza Argentina kutwaa kombe la Dunia 2022.
Kwa mujibu wa gazeti la El Financiero, maafisa wa bodi ya usimamizi wa fedha Nchini humo wanatafuta njia za kuuenzi...