Advertise here

Waleteni Messi, Ronaldo na Serena Williams watangaze utalii; Profesa Patrick Ndakidemi ameomba

Kasomi

JT Founder
Screenshot_20250519-234007~2.png

DODOMA: Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kutumia watu maarufu kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo hapa nchini.
-
Akizungumza wakati akichangia hoja kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii amesema kuwa ili kuongeza idadi ya watalii wana michezo maarufu kama Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Serena William watumike kupiga jeki sekta hiyo.
 
Back
Top