mtandaoni

  1. Kasomi

    Urusi yazungumzia Raia wake aliyezua gumzo Mtandaoni

    Serikali ya Urusi imekiri ripoti kwamba mwanamume mmoja raia wa Urusi anadaiwa kurekodi matukio ya mapenzi ya wanawake aliokuwa amewarubuni katika nchi nyingi za Afrika na kuweka video zao mtandaoni bila ridhaa yao. Ghana inasema inataka mshukiwa arejeshwe nchini humo ili haki ipatikane -...
  2. Kasomi

    Ethan Zuckerman Mgunduzi wa Pop-up ads Mtandaoni

    Miaka ya 1990, intaneti ilikuwa bado changa, tovuti zilikuwa chache, na biashara mtandaoni ndiyo ilikuwa inaanza. Katika kipindi hicho, kijana mhandisi aitwaye Ethan Zuckerman alifanya kazi Tripod.com, moja ya majukwaa ya mwanzo yaliyowawezesha watu kutengeneza kurasa zao binafsi mtandaoni...
  3. Kasomi

    JamiiTalk Encrypter / Decrypter Web App – Suluhisho Rahisi la Kulinda Taarifa Zako

    Encrypter / Decrypter Web App – Suluhisho Rahisi la Kulinda Taarifa Zako Mtandaoni Katika ulimwengu wa sasa ambapo matumizi ya mtandao yameongezeka kwa kasi, usalama wa taarifa binafsi umeonekana kuwa jambo la msingi kuliko wakati mwingine wowote. Watumiaji wa intaneti au jumbe za kawaida...
  4. Kasomi

    Firefox itaweka VPN ya Bure ili kuzuia IP address

    Firefox imefuata hatua za browser ya Safari ya Apple - kwa kuanza kuweka mfumo wa kuzuia na kuficha IP (anuani) ya mtumiaji akiwa anaperuzi mtandaoni. Mfumo huo wa Firefox utaitwa Firefox VPN na browser ya Firefox itakuwa inasafirisha taarifa ambazo mtu anaperuzi katika seva za VPN na kuweka...
  5. Kasomi

    Naomie Pilula akataa kufuta Picha zake Mtandaoni kisa Muonekano wake

    Naomie Pilula, mwanasheria kutoka Zambia, alichapisha selfie mwezi Juni ambayo ilisambaa sana mtandaoni na kupata zaidi ya maoni 530,000 Instagram, mengi kati yake yakiwa ya kejeli na maneno mabaya kuhusu muonekano wake, wengine wakithubutu kuuliza kama ni picha ambayo imetengenezwa kutumia AI...
  6. Kasomi

    Wanaofanya Biashara Mtandaoni Bila Kujisajili TRA Wapewa Mwezi Mmoja Kujisajili

    WANAOFANYA BIASHARA MTANDAONI BILA KUJISAJILI TRA WAPEWA MWEZI MMOJA KUJISAJILI Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa mitandaoni ambao hawajajisajili na TRA kujisajili mara moja ndani ya kipindi cha mwezi mmoja. Ameyasema...
Back
Top