Inawezekana uwa unajiuliza ni zipi shule ghali zaidi Afrika kwa kipindi kirefu sasa, Usijali leo tunakujuza shule kumi ghali zaidi katika ukanda wetu wa Afrika pamoja na Ada zake;
10. American international school, Zambia (annual fee 22,070$)
Shule ya Kimataifa ya Marekani ya Lusaka (AISL) ni...