ndoa

  1. J

    Maandiko yanasemaje kuhusu utoaji wa mahari katika ndoa

    Maandiko yanasemaje kuhusu utoaji wa mahari katika ndoa Kuna maswali kadhaa ambayo baadhi ya watu huulizana mara kwa mara. Mifano: Je ulipwaji wa mahari ina ulazima wowote? Je ni agizo la kibiblia? Na kama ni hivyo, je Adamu alitoa mahari kwa nani ili ampate Hawa? Mahari ni zawadi ya harusi...
  2. J

    Mke kupenda fedha kama Delila hubomoa ndoa yake

    Mke kupenda fedha kama Delila hubomoa ndoa yake Samsoni na Delila Hebu kwanza tusome habari fupi kuhusu Samsoni na Delila, kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Waamuzi 16:1-22 Samsoni ni nani Siku moja, Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye. Watu wa Gaza...
  3. Kasomi

    Kona ya Mwalimu: Kwanini Unaweka Hali ya Ndoa kwenye CV Bila Kuombwa? Mwaajiri Anatafuta Mfanyakazi, si Mchumba

    KWANINI UNAWEKA HALI YA NDOA KWENYE CV BILA KUOMBWA? MWAAJIRI ANATAFUTA MFANYAKAZI, SI MCHUMBA. Huu ukweli watu wengi bado hawajaupokea. CV si fomu ya maisha yako yote. CV ni waraka wa kazi. Inapaswa kumwonesha mwajiri jambo moja tu, una uwezo gani na unafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu gani...
  4. J

    Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu

    Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu Ndoa ni nini Ndoa ni mkataba unaofungwa katika kanuni timilifu za Mungu, alizozikusudia tangu mwanzo, kati ya nwanamume na mwanamke. Kifungu cha 1Wakorintho 7:28 cha maandiko 1Wakorintho 7:28: "Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali...
  5. C

    Itakusaidia kufunguka kiakili na kuwa huru na Ndoa yako 😊

  6. Kasomi

    Siri 15 ambazo Mwanamke hawez kukuambia kamwe

    SIRI 15 AMBAZO MWANAMKE HAWEZI KUKUAMBIA KAMWE; 1. Ikiwa anakupenda kweli, atafanya mambo kuwa rahisi kwako. Hakuna udhuru, hakuna michezo ya akili - utapatikana. 2. Tayari anajua ikiwa atalala na wewe au la. Acha kufikiria unaweza "kumshawishi"; yeye Aliamua zamani. 3. Anakujaribu bila wewe...
  7. Kasomi

    Mnaofikiria kuoa haya ni mambo ya msingi kufikiri

    Mnaofikiria kuoa haya ni mambo ya msingi kufikiri. Anaandika Faida Hassan Potea mjukuu wa Njelekela Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua Ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna Ndoa na kuna Harusi... Wengi mnapenda...
  8. Kasomi

    Mambo yanayopelekea Uchumba kuvunjika kabla ya Ndoa

    MAMBO YANAYOPELEKEA UCHUMBA KUVUNJIKA KABLA YA NDOA ???????????????????????? Anaandika Mh Faida H. Potea ❤❌ KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA. Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja hupelekea mtu kushindwa kujitoa kikamilifu kwa mtu aliyenaye, na badala yake huishia kupapasa kwa kila mtu hali inayomfanya...
Back
Top