pombe

  1. Kasomi

    Kumbukizi ya Miaka 5 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021)

    Kumbukizi ya Miaka 5 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021) Miaka mitano imepita tangu ulipotutoka, lakini alama ulizoacha bado zinang'ara. Uongozi wako wa uadilifu, uzalendo, na bidii vitadumu mioyoni mwetu. Ulisimama imara kwa maendeleo ya taifa, ukahamasisha uchapakazi kwa kauli...
  2. Kasomi

    Kumbukizi ya Miaka 4 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021)

    Kumbukizi ya Miaka 4 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021). Miaka minne imepita tangu ulipotutoka, lakini alama ulizoacha bado zinang'ara. Uongozi wako wa uadilifu, uzalendo, na bidii vitadumu mioyoni mwetu. Ulisimama imara kwa maendeleo ya taifa, ukahamasisha uchapakazi kwa kauli...
  3. Kasomi

    Matembezi ya Amani ya kumuenzi Hayati DKT. John Pombe Magufuli

    Familia ya Hayati Rais John Pombe Magufuli ikiongozwa na Mtoto wa Dr. Magufuli aitwaye Jesca Magufuli, imeongoza maandamano ya amani jana March 16 2025 Chato, Geita kumuenzi Hayati Magufuli na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza na kukamilisha miradi iliyoanzishwa na Hayati...
  4. Kasomi

    JINSI YA KUJUA POMBE UNAYOKUNYWA INATOSHA KWA SIKU

    JINSI YA KUJUA POMBE UNAYOKUNYWA INATOSHA KWA SIKU C&P From DR F. SUNDAY CHUKUA UJAZO WA HICHO KINYWAJI KWA MILILITRE (mls) UTAZOKUNYWA ZIDISHA KWA ASILIMIA YA HIO POMBE GAWANYA KWA ELFU MOJA. JAWABU LIZIZIDI UNIT MBILI (2) AMBAPO NDO KIASI KWA SIKU. MFANO UNIT= % × UJAZO...
Back
Top