ronaldo

  1. Kasomi

    TANZIA Azra Ronaldo akutwa amefariki huku mwili wake ukiwa umevimba

    TANZIA: Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya majirani kubaini harufu katika chumba chake. Mdau wa Michezo Seleman Kaniki ambayr alikuwa...
  2. Kasomi

    Waleteni Messi, Ronaldo na Serena Williams watangaze utalii; Profesa Patrick Ndakidemi ameomba

    DODOMA: Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kutumia watu maarufu kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo hapa nchini. - Akizungumza wakati akichangia hoja kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii amesema kuwa ili kuongeza...
Back
Top