TANZIA Azra Ronaldo akutwa amefariki huku mwili wake ukiwa umevimba

Kasomi

JT Founder
Screenshot_20250611-155614~2.png

TANZIA: Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya majirani kubaini harufu katika chumba chake.

Mdau wa Michezo Seleman Kaniki ambayr alikuwa akimfahamu dada huyo amethibitisha kifo chake baada ya Polisi kufika eneo la tukio.

Azra Ronaldo alikuwa Mwanadada maarufu mitandaoni kwa utashi wake mkubwa wa kucheza mpira mitaani.

Chanzo: Kitenge Updates
 
Back
Top