Advertise here

shahada

  1. Kasomi

    Justinian Rweyemamu Mtanzania wa Kwanza Kupata Shahada ya Uzamivu (PhD) Kutoka Chuo cha Harvard

    MTANZANIA WA KWANZA KUPATA SHAHADA YA UZAMIVU (PhD) KUTOKA CHUO KIKUU MAARUFU DUNIANI CHA HARVARD Pichani ni Justinian Rweyemamu ndiye Mtanzania wa kwanza kupata Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu maarufu duniani cha Harvard. Justinian Rweyemamu alikuwa bingwa wa hesabu, uchumi na...
  2. Kasomi

    Degree 10 Zenye Ajira za Haraka na Mshahara Mnono

    Katika dunia ya leo inayoendeshwa na teknolojia na ubunifu, kuchagua kozi sahihi ya chuo ni jambo muhimu sana. Ikiwa unatafuta kusoma degree yenye ajira ya haraka na mshahara unaolipa vizuri, hizi ndizo kozi 10 zinazotamba zaidi duniani. 1️⃣ Computer Science & Artificial Intelligence (AI)...
  3. Kasomi

    Mhitimu aliyetuma maombi ya kazi 47 na kukosa yote aanza kuuza mkaa

    Mwanaume mmoja aitwaye Gal Gony Gatluak, mhitimu wa Shahada ya Uhasibu na Fedha, huko Sudan Kusini, amejikuta akiingia kwenye biashara ya uuzaji wa mkaa jijini Juba baada ya kutuma maombi ya kazi 47 bila mafanikio. Gony, mwenye umri wa miaka 38, anasema licha ya kuwa na uzoefu wa kazi katika...
  4. Kasomi

    Claudia Lubao Maarufu kama Chemical Atunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD)

    Claudia Lubao Maarufu kama Chemical ambaye ni Msanii pamoja na Staa wa Rap kutoka nchini Tanzania, Jana April 30,2025 ameweka wazi kuhusiana na Historia ya Maisha yake Kwa kufanikiwa kupata (PhD) ya uzamivu baada ya kufaulu mtihani wake wa mwisho kwenye masuala ya sanaa Hivyo kwasasa Claudia...
Back
Top