Advertise here

uhasibu

  1. Kasomi

    Muonekano wa Chuo cha Uhasibu Arusha - IAA

    Tazama video ya Muonekano wa Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA)
  2. Kasomi

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeibuka kidedea katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu (SHIMIVUTA)

    IAA YANG'ARA SHIMIVUTA 2025 Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeibuka kidedea katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu (SHIMIVUTA) mkoani Tabora. Katika mashindano hayo IAA imefanikiwa kutwaa makombe 11 , moja likiwa ni la mshindi wa jumla (overall winner na 10 ni ya...
  3. Kasomi

    Jinsi ya Kujisajili kwenye Mfumo wa Chuo cha Uhasibu Arusha IAA kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza

    Maelezo Kuhusu Kujisajili kwenye Mfumo wa Chuo cha IAA kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza Kwa mwanafunzi mpya wa mwaka wa kwanza katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), unapaswa kujisajili rasmi kwenye mfumo wa chuo ili kuweza kukamilisha usajili kabla au baada ya kufika chuoni Ili kujisajili...
  4. Kasomi

    TANZIA William Bamaga Mwanafunzi wa Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) inadaiwa kuuliwa na Abeli kisa uhusiano wa mapenzi na mdogo wake

    HABARI Kijana anayejulikana kwa jina la Abel anadaiwa kumuua mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) aitwaye William Bananga (Pichani) akimtuhumu kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mdogo wake wa kike Inaelezwa kuwa jambo hilo lilimkasirisha na kumfanya achukue hatua za kumchoma kisu...
Back
Top