Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limetoa taarifa ya kuwepo kwa hitilafu ya dharura katika sehemu ya mfumo wa Gridi ya Taifa, hali iliyosababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika baadhi ya Mikoa nchini.
Mikoa iliyoathirika ni pamoja na Dodoma, Njombe, Mbeya, Simiyu, Ruvuma, Geita, Shinyanga...