utalii

  1. Kasomi

    Bongo Zozo ajiuzulu Rasmi nafasi ya ubalozi wa utalii Tanzania kisa uvunjifu wa Amani

    ANAANDIKA BONGO ZOZO "BALOZI WA UTALII TANZANIA". Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii. Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa...
  2. Kasomi

    Waleteni Messi, Ronaldo na Serena Williams watangaze utalii; Profesa Patrick Ndakidemi ameomba

    DODOMA: Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kutumia watu maarufu kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo hapa nchini. - Akizungumza wakati akichangia hoja kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii amesema kuwa ili kuongeza...
  3. Kasomi

    Mfahamu Julius Marwa; Mwanaume mrefu Zaidi Tanzania ( ana urefu wa futi 7.5)

    MJUE JULIUS MARWA MWENYE UREFU WA FUTI 7.5: Si ajabu kusikia katika majarida mbalimbali zikiwekwa picha za watu warefu zaidi duniani na hata wafupi zaidi lakini kwa Tanzania kama utazungumzia watu warefu huwezi kuacha kumtaja Julius Marwa mwenye urefu wa futi 7.5 akiwa na miaka 29 (miaka ya...
Back
Top