vyuo

  1. M

    MSAADA JUU YA APPLICATION ZA AVN NUMBER NA VYUO

    Habari karibu the Online Stationary kwa kufanya Maombi ya 👉Chuo 👉Avn number 👉 HELSB Mikopo 👉Rita uhakiki WA vyeti Contact 0622569980
  2. Kasomi

    Selection za kidato cha kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi zatoka 2026 Wanafunzi 246,197 wamechaguliwa

    Wanafunzi 246,197 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi kati ya hao wasichana 114,102 na wavulana ni 132,095 ikijumuisha wanafunzi 631 ni wenye mahitaji maalum. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki...
  3. Kasomi

    Vyuo vikuu Bora Afrika Mashariki

    Kulingana na takwimu iliyotolewa hivi karibuni na jarida la Times Higher Education la nchini Uingereza, Chuo Kikuu cha Makerere cha Uganda, kinashika nafasi ya kwanza kwa ubora, katika ukanda wa Afrika Mashariki. Nafasi ya pili imekwenda kwa Chuo Kikuu cha Nairobi (UON) huku Chuo Kikuu cha Afya...
  4. Kasomi

    Vyuo vya gharama za juu zaidi Afrika (2025)

    Hii ni orodha ya baadhi ya vyuo vya juu vinavyotoza ada kubwa Afrika kwa mwaka wa masomo: 1. The American University in Cairo (AUC) – Misri • Ada ya kujisoma kwa mwaka: $20,000 – $32,000 (takriban TZS ~54,000,000 – 86,000,000) kwa mwaka, kulingana na programu. 📍 Inapatikana: Cairo, Misri – moja...
  5. Kasomi

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeibuka kidedea katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu (SHIMIVUTA)

    IAA YANG'ARA SHIMIVUTA 2025 Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeibuka kidedea katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu (SHIMIVUTA) mkoani Tabora. Katika mashindano hayo IAA imefanikiwa kutwaa makombe 11 , moja likiwa ni la mshindi wa jumla (overall winner na 10 ni ya...
  6. Kasomi

    Vyuo Vikuu 10 Bora Zaidi Tanzania 2025

    Ripoti ya UNIRANKS ya mwaka 2025, imeangazia vyuo vikuu bora kutoka nchi mbalimbali duniani kwa kuzingatia mambo kadhaa muhimu yanayoonesha ubora wa chuo. Miongoni mwa vigezo vilivyotumika ni pamoja na ubora wa elimu inayotolewa, mafanikio katika tafiti za kitaaluma, namna chuo...
  7. Kasomi

    Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2025/2026 TAMISEMI

    Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano, 2025 TAMISEMI Form Five Selection | Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 – Mwongozo Kamili kutoka TAMISEMI. Majina ya wanafunzi waliofaulu na kupangiwa kuingia Mwaka wa 5 kwa mwaka wa masomo 2025/2026 ni miongoni mwa taarifa...
  8. Kasomi

    Vijue vyuo vikuu kumi bora Afrika 2025

    Kwa mujibu wa jarida la elimu kutoka Uingereza la Times Higher Education, vyuo vikuu bora barani Afrika vimetoka katika nchi 19 katika orodha yao ya 2025 kati ya zaidi ya vyuo vikuu 2,000 kutoka nchi 115. Kwa ujumla, Misri na Algeria ndizo nchi mbili za Afrika zilizotoa vyuo vingi katika orodha...
  9. Kasomi

    Fomu ya kujiunga VETA pamoja na Vyuo vya VETA vinavyotoa mafunzo Ngazi ya Tatu 2025-2026

    Hii hapa orodha ya vyuo vya VETA vinavyotoa mafunzo ngazi ya tatu ufundi stadi ni kama Arusha VTC, Busokelo DVTC, Dakawa VTC, Dar es Salaam RVTSC, Dodoma RVTSC, Gorowa DVTC, Ileje DVTC, Iringa RVTSC, Kagera VTC, Kagera RVTSC, Kigoma RVTSC, Kihonda RVTSC, Karagwe VTC, Kipawa ICT Centre, Kongwa...
  10. Kasomi

    VYUO 20 BORA NCHINI TANZANIA 2022

    VYUO 20 BORA NCHINI TANZANIA 2022 1. University Of Dar es Salaam (UDSM) 2. Sokoine University of Agriculture (SUA) 3.Muhimbili University of Health and Allied Science (MUHAS) 4. University of Dodoma (UDOM) 5. Catholic University of Health and Allied Science (BUGANDO) 6. Open University of...
Back
Top