windows

  1. Kasomi

    Weka Windows 11 mpya kwenye PC ambayo Not Supported

    WEKA WINDOW 11 MPYA KWENYE PC AMBAYO NOT SUPPORTED !!! Je unapenda kuinstall window 11 kwenye kifaa chako lakini Changamoto haikubali mean unsupported kutokana na haijakizi vigezo vyote ? Najua ni moja wapo ya changamoto ya watu wengi sana kutokana na Pc tunazozimiliki ni za kizamani so mambo...
  2. Kasomi

    New Methods to Install Windows 11 on Unsupported PC on 2026 Using Rufus

    Microsoft’s Windows 11 announcement caused plenty of confusion and criticism due to its strict hardware requirements. Windows 11 officially requires 8th-gen or newer Intel processors, 4GB of RAM, 64GB of storage device, TPM 2.0 UEFI and Secure Boot feature enabled. While TPM 2.0 is not a major...
  3. Kasomi

    How to Install Windows 11 on Unsupported PCs (New Easiest Method 2026)

    Unlock the Full Potential of Windows 11 with Our Exclusive Playlist! Discover diverse methods to install Windows 11 on both unsupported hardware and supported PCs. Dive into expert tips on optimizing Windows 11 performance for older computers, along with a trove of tricks to enhance your...
  4. Kasomi

    Softwares za Kuaminika zisizo na Viruses zinapatikan kwenye Tovuti hii

    Ikiwa Una Laptop au Computer na hufahamu wapi Utapata Softwares za Kuaminika zisizo na Viruses, Elekea: Kwa Windows: ✅ https://en.uptodown.com/windows Kwa MacOS: ✅ https://en.uptodown.com/mac Kwa Android: ✅ https://en.uptodown.com/android Note: Tools na Softwares zote zinazopatikana katika...
  5. Kasomi

    Microsoft imethibitisha kuwa, Kuanzia October 14, 2025 Vifaa vyote vinavyotumia Windows 10 havitapokea Software Updates, Support na Security feature

    Microsoft imethibitisha kuwa, Kuanzia October 14, 2025.. Vifaa vyote vinavyotumia Windows 10 havitapokea Software Updates, Support na Security features daima. Hii ni sawa na Kumaanisha “Mtoto Amekua Akajitegemee”. , Wameamua Kuitelekeza Windows 10 kama Ilivyokuwa Katika Windows 7 na Windows 8...
  6. Kasomi

    Jinsi ya Kufanya Bootable Flash Disk kwa Kutumia PowerISO (Kuinstall Windows)

    Jinsi ya Kufanya Bootable Flash Disk kwa Kutumia PowerISO (Kuinstall Windows) Hakikisha una: ✅ Flash disk (angalau 8GB ili kutoshea Windows ISO). ✅ Faili ya Windows ISO (Windows 10/11 au zingine). ✅ Programu ya PowerISO (inaweza kupakuliwa kwenye tovuti yao rasmi). Hatua kwa Hatua...
  7. Kasomi

    Jinsi ya kutengeneza Bootable (Pendrive) Flash kwa kutumia CMD Command

    JINSI YA KUTENGENEZA BOOTABLE USB PENDRIVE (FLASH) KWA KUTUMIA COMMAND Technology inakuwa kwa kasi sana siku hadi siku. zamani tulizoea kutumia CD kwa ajili ya kuinstall window kwenye computer zetu ila ubaya ilikuwa CD zilihitaji uangalifu mzuri ili iweze kudumu kwa muda mrefu tulijikuta...
  8. Kasomi

    Jinsi ya kupiga Windows kwenye Computer

    Jinsi Ya Kuweka Window Kwenye Computer Windows 10, 11, 7 na 8, kupiga window 10 kwenye pc Kuweka Windows 10, 11, 7 na 8 kwenye kompyuta yako ni mchakato muhimu unaohitaji umakini na ufuatiliaji wa hatua kadhaa. Hapa chini ni mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kusakinisha Windows 10, 11, 7...
  9. Kasomi

    Watumiaji wa Windows watalazimika kulipia app ya Notepad ili kupata features mpya

    Watumiaji wa Windows watalazimika kulipia app ya Notepad ili kupata features mpya. Kwa zaidi ya miaka 42, app ya Notepad ni app ya bure ambayo imekuwa ikipatikana ndani ya mfumo wa kompyuta ambazo zinatumia Windows. Ni app ya kuandika notes, codes, texts na kazi simple za maandishi...
Back
Top