Advertise here

zaidi

  1. J

    Dhambi ni tamu - tupate habari zaidi

    Dhambi ni tamu - tupate habari zaidi Dhambi ni Nini Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1Yohana 3:4; 5:17). Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya...
  2. Kasomi

    Je, unajua kuwa siafu mmoja anaweza kuuzwa hadi dola 220 (zaidi ya shilingi za Kitanzania 500,000) kwenye soko haramu

    Kulingana na taarifa za hivi karibuni mnamo Aprili 2026, siafu aina ya Malkia (hasa Giant African Harvester Ant) wanauzwa kwa bei ya juu sana katika soko haramu, huku mmoja akiweza kugharimu hadi dola za Kimarekani 200 hadi 220 (sawa na zaidi ya shilingi za Kitanzania 500,000). Hapa kuna mambo...
  3. Kasomi

    Wachezaji wa Kandanda Wenye Thamani Zaidi Duniani 2005 - 2026

    Wachezaji wa Kandanda Wenye Thamani Zaidi Duniani toka mwaka 2005 hadi 2026 Tazama video hapa
  4. Kasomi

    Tetesi: Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Msasa, Geita wauwa zaidi ya Watu 100

    HABARI MBAYA KUTOKA MKOANI GEITA Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Geita unaojulikana kama MSASA ambao unamilikiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela huku hisa za Kiongozi huyo zikisimamiwa na Cosmas Ignas. Leo yaani Machi 29, saa Sita Mchana mgodi huo umeua watu zaidi ya 100 baada ya...
  5. Kasomi

    Ifahamu Nchi kubwa zaidi Duniani

    Je, unafahamu kuwa Urusi (Russia)/ USSR Ndio nchi inayo shika rekodi ya kua nchi kubwa kuliko nchi yeyote duniani? Basi fahamu Kuhusu ukubwa wake, eneo lake kwa ukubwa ni 17,075,400km² za mraba (million17.1km²), ambayo sawa na 12,577mile kwa urefu. Pia Urusi inachukua 11% ya eneo lote la nchi...
  6. Kasomi

    Hili ndilo jina la kilima nchini New Zealand lenye urefu wa herufi 85, likishikilia rekodi ya kuwa jina refu zaidi la mahali duniani

    Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu Hilo ndilo jina la kilima nchini New Zealand lenye urefu wa herufi 85, likishikilia rekodi ya kuwa jina refu zaidi la mahali duniani. Liko karibu na Porangahau, Hawke's Bay, na linatokana na hadithi ya...
  7. Kasomi

    Hizi ndizo lugha zinazozungumzwa zaidi barani Afrika

    Kulingana na ripoti ya UNESCO, kati ya lugha 1,500 na 3,000 (ikiwa ni pamoja na lahaja) zinazungumzwa kote barani Afrika. Hizi ni lugha zinazo ongoza kwa kuzungumuzwa zaidi Barani Afrika 1. Kiswahili Idadi ya wazungumzaji: zaidi ya watu milioni 230 wanazungumuza Kiswahili Afrika. Kiswahili...
  8. Kasomi

    Hizi ndizo Sarafu 3 Zenye Thamani Zaidi Dunia

    Hizi ndizo Sarafu 3 Zenye Thamani Zaidi Dunia 1- Kuwaiti Dinar (KWD) Hii ndio Sarafu ya thamani ya juu zaidi, inayotokana na akiba kubwa ya mafuta, ambapo KWD 1 ni sawa na TZS 8,345 2- Bahraini Dinar (BHD): Hii ndio Sarafu ya pili kwa Thamani Duniani, inayoungwa mkono na uchumi imara ambapo...
  9. Kasomi

    Aiba Mafuvu Zaidi ya 100 ya Binadamu Makaburini

    Mwanaume mmoja Nchini Marekani, Jonathan Gerlach (34) amekamatwa na kushtakiwa kwa makosa zaidi ya 300 yakihusisha wizi wa zaidi ya Mafuvu 100 ya Binadamu pamoja na vito vya thamani vilivyoibwa katika Makaburi ambapo tukio hilo limeripotiwa kutokea katika Makaburi ya Mount Moriah mjini...
  10. Kasomi

    Vyuo vya gharama za juu zaidi Afrika (2025)

    Hii ni orodha ya baadhi ya vyuo vya juu vinavyotoza ada kubwa Afrika kwa mwaka wa masomo: 1. The American University in Cairo (AUC) – Misri • Ada ya kujisoma kwa mwaka: $20,000 – $32,000 (takriban TZS ~54,000,000 – 86,000,000) kwa mwaka, kulingana na programu. 📍 Inapatikana: Cairo, Misri – moja...
  11. Kasomi

    YouTube yaongoza kufuatiliwa zaidi Marekani Huku Facebook, Instagram na Tiktok zikifuatia pamoja na Mitandao mingine

    Mitandao hiyo iliyofuatiliwa zaidi Marekani ni kama ifuatavyo: YouTube Facebook Instagram TikTok WhatsApp Reddit Snapchat X (Twitter) Threads Bluesky Truth
  12. Kasomi

    Nchi 10 za Afrika zenye umri wa juu zaidi wa kuishi

    Kulingana na Ripoti ya World Population Prospect ya mwaka 2022 inabainisha kuwa nchini Algeria, mtoto aliyezaliwa anatarajiwa kuishi zaidi ya miaka 77. Nchi nyingine zilizoshika nafasi za juu ni Cabo Verde, Tunisia, na Mauritius, ambapo wastani wa umri wa kuishi ni miaka 76. Hii inatafsiri kuwa...
  13. Kasomi

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika 2025

    NCHI 10 ZA AFRIKA ZENYE IDADI KUBWA YA WATU 1. Nigeria 🇳🇬 2. Ethiopia 🇪🇹 3. Egypt 🇪🇬 4. Democraric Republic of Congo 🇨🇩 5. Tanzania 🇹🇿 6. South Africa 🇿🇦 7. Kenya 🇰🇪 8. Sudan 🇸🇩 9. Uganda 🇺🇬 10. Algeria 🇩🇿 Chanzo: World Population Review
  14. Kasomi

    Nchi 10 Zenye Misikiti Mingi Zaidi Duniani

    Nchi 10 Zenye Misikiti Mingi Zaidi Duniani 1️⃣ Indonesia 🇮🇩 ➡️ Misikiti zaidi ya 800,000 Indonesia ina idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani. 2️⃣ India 🇮🇳 ➡️ Misikiti zaidi ya 300,000 Licha ya kutokuwa nchi ya Waislamu wengi, ina misikiti mingi sana. 3️⃣ Bangladesh 🇧🇩 ➡️ Takribani 150,000 –...
  15. Kasomi

    Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga moja ya viongozi wa ovyo zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

    Unamfahamu Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga moja ya viongozi wa ovyo zaidi kuwahi kutokea barani Afrika, alitawala kwa mkono wa chuma Zaire (DRC ya sasa) akifanya ufisadi na anasa za kutisha akichezea fedha za umma na rasilimali za nchi Mobutu alijenga majumba ya kifahari na mahoteli...
  16. Kasomi

    Madeleka: Unaijua zaidi Sheria ya uchawi?

    Wakili Peter Madeleka anatukumbusha kuwa Sheria ya Uchawi (The Witchcraft Act), Sura ya 18 ya Sheria za Tanzania ni sheria inayodhibiti masuala yanayohusiana na imani, vitendo na madai ya uchawi nchini. Kwa kifupi, sheria hii haikubali wala kuhalalisha uchawi, bali inalenga kuzuia madhara...
  17. J

    Dhambi ni tamu. Tupate habari zaidi

    Dhambi ni tamu. Tupate habari zaidi Dhambi ni Nini? Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1Yohana 3:4; 5:17). Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya...
  18. Kasomi

    Hii ndio mikoa 10 masikini zaidi Tanzania mwaka 2023

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kupitia ripoti ya National Accounts of Mainland Tanzania 2024, pato la wastani la mtu mmoja (GDP per capita) Tanzania Bara ni Tsh 3,058,847 kwa mwaka 2023. Hata hivyo, mikoa kadhaa bado ipo chini ya kiwango hicho ikionesha changamoto za maendeleo ya...
  19. Kasomi

    Video inayopendwa zaidi kwenye TikTok (Most liked TikTok)

    Video hiyo ni video ya Bella Poarch Yenye vipendwa likes 54,900,000 kama Kutoka Marekani Wakati 25 Januari 2022 Video iliyopendwa zaidi kwenye TikTok ina vipendwa 54,900,000, na ilifikiwa na Bella Poarch (USA), kufikia Tarehe 25 Januari 2022. Video inaonyesha Poarch kusawazisha midomo na...
  20. Kasomi

    Elon Musk ndo Mtu Tajiri Zaidi Duniani

    Bilionea namba 1 ulimwenguni Elon Musk amekuwa binadamu wa kwanza kufikisha utajiri wa dola bilioni 500 (zaidi ya kwadrilioni 1 ya kitanzania) Kwa mujibu wa Forbes, utajiri wa Musk ulifikia dola bilioni 500. 1 jana Jumatano. Mafanikio sokoni ya Kampuni yake ya magari ya Tesla na ongezeko la...
Back
Top