Kasomi
JT Founder
AMAZON YAPANDISHA SATELAITI ANGANI KUSHINDANA NA STARLINK YA ELON MUSK.
Amazon imezindua kundi lake la kwanza la satelaiti za Mradi Kuiper, hatua inayolenga kupanua huduma za intaneti duniani kote na kushindana moja kwa moja na Starlink ya SpaceX. Hii ni jitihada kubwa ya kuleta intaneti hata kwenye maeneo yaliyo pembezoni mwa dunia.
Uzinduzi wa satelaiti 27 katika anga ni mwanzo wa safari ya Amazon kuunda mtandao wa zaidi ya satelaiti 3,200 zitakazopeleka intaneti yenye kasi kubwa duniani kote.
Je, mradi huu utaweza kufikia ufanisi wa Starlink, ambayo tayari ina wateja zaidi ya milioni 4.6 duniani kote?
Amazon Yapandisha Satelaiti Angani Kushindana Na Starlink Ya Elon Musk