Tajiri namba moja dunianni Elon Musk amevunja rekodi mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza duniani kufikia utajiri wa trilioni moja ya dola.
Hii imetokana na kupanda kwa asilimia 25 kwa thamani ya hisa za kampuni yake ya SpaceX siku ya Ijumaa, mara tu zilipoanza kuuzwa.
Bei ya hisa ilipanda kutoka...
Katika ulimwengu wa teknolojia, jina la Elon Musk limekuwa ishara ya misukumo mipya, uvunjaji wa mipaka, na ubunifu unaotangulia wakati.
Kutoka roketi zinazotumika zaidi ya mara moja za SpaceX, magari ya umeme ya Tesla, hadi miradi ya akili bandia na Neuralink, Musk ameandika sura mpya katika...
Bilionea namba 1 ulimwenguni Elon Musk amekuwa binadamu wa kwanza kufikisha utajiri wa dola bilioni 500 (zaidi ya kwadrilioni 1 ya kitanzania)
Kwa mujibu wa Forbes, utajiri wa Musk ulifikia dola bilioni 500. 1 jana Jumatano.
Mafanikio sokoni ya Kampuni yake ya magari ya Tesla na ongezeko la...
Utajiri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla na SpaceX, Elon Musk, umepungua kwa kiasi cha dola bilioni 15 kwa siku ya leo pekee baada ya hisa za kampuni ya Tesla kuporomoka kwa karibu asilimia 7 na kushuka kwa takriban dola 21.
Kwa mujibu wa Bloomberg Billionaires Index, licha ya kupungua kwa...
Elon Musk, bilionea na mmiliki wa X (zamani Twitter), amethibitisha kuondoka kwake kutoka serikali ya Rais Donald Trump. Musk alikuwa akiongoza juhudi kubwa za kupunguza ukubwa na matumizi ya serikali ya Marekani, zilizosababisha maelfu ya nafasi za kazi za serikali kufutwa. Katika chapisho lake...
AMAZON YAPANDISHA SATELAITI ANGANI KUSHINDANA NA STARLINK YA ELON MUSK.
Amazon imezindua kundi lake la kwanza la satelaiti za Mradi Kuiper, hatua inayolenga kupanua huduma za intaneti duniani kote na kushindana moja kwa moja na Starlink ya SpaceX. Hii ni jitihada kubwa ya kuleta intaneti hata...
Elon Musk
Kampuni ya akili bandia ya Elon Musk, xAI, imechukua umiliki wa X, mtandao wa kijamii uliokuwa ukijulikana kama Twitter, katika dili lenye thamani ya dola bilioni 45.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye X, Musk alisema: “Mustakabali wa xAI na X unahusiana kwa karibu. Leo...
Elon Musk has indeed experienced a significant net worth loss, with reports suggesting he's lost around $150 billion this year due to a decline in Tesla stock, while still remaining the world's richest person.
Bloomberg reports that Musk lost around $29 billion on that Monday alone.
Some...
Pichani kulia ni mwanadada Amber Heard muigizaji maarufu nchini Marekani anayetajwa kama moja ya wanawake warembo zaidi kuwahi kutokea duniani ambaye pia amewahi kudet na Elon Musk
Cha kushangaza kuhusu Amber ni kwamba alianza kudet na Elon Musk huku akiwa mke wa mtu ndani ya ndoa na muigizaji...
Elon Musk amedai kuwa huduma yake ya mtandao wa satelaiti, Starlink, hairuhusiwi kufanya kazi Afrika Kusini kwa sababu ya rangi yake. Hii inatokana na masharti ya kisheria yanayotaka kampuni katika sekta kama mawasiliano kuwa na angalau 30% ya umiliki wa makundi yaliyoathirika kihistoria, kama...
Miongoni mwa matajiri namba 1 duniani Bilionea Elon Musk amebarikiwa kupata mtoto wa 14 na mpenzi wake Shivon Zilis ambaye pia ni mfanyakazi wake kwenye kampuni yake ya Neuralink, mtoto huyu amepewa jina 'Seldon Lycurgus' na ni mtoto wa 4 kwenye familia yao na wa 14 kwa Elon Musk,
-
Sasa Elon...
Vita vipya vya maneno vilizuka kati ya marafiki Sam Altman na Elon Musk waliogeuka kuwa maadui wa biashara.
Elon Musk na Sam Altman walijibizana baada ya wadhamini kujitolea kununua OpenAI kwa $97.4 bilioni. Mkurugenzi Mtendaji wa OpenAI alikataa pendekezo la Musk na akajitolea kununua ‘Twitter’...
Bilionea mkubwa duniani na mwanzilishi wa Kampuni ya SpaceX, Elon Musk ambaye pia ni swahiba mkubwa wa Rais Donald Trump wa Marekani, hapo jana alikuwa ni kama amepagawa kwa furaha wakati wa uapisho wa Trump.
Alipopewa nafasi ya kupanda jukwaani kwenye Ukumbi wa Capital One jijini Washington...
Musk posed the question: "What is the best thing we can do to ensure the future is good?
We could sit on the sidelines or we can encourage regulatory oversight, or we could participate with the right structure with people who care deeply about developing AI in a way that is safe and is...
Mfahamu Nikola Tesla
Picha ni Nikola Tesla kabla ya kufariki.
Kuzaliwa 1856- kufa 1943 akiwa na umri wa miaka 86
Nikola Tesla alizaliwa ulaya mashariki kwenye nchi ambayo leo ni Croatia/Serbia mnamo 10 Julai 1856. Alitoka katika kabila la Kiserbokroatia: (Никола Тесла) alikuwa mhandisi na...
CEO wa SpaceX na Tesla, Elon Musk Mzaliwa wa Pretoria, Afrika Kusini ambaye ni Tajiri namba moja duniani, amekamilisha ununuzi wake wa mtandao wa Twitter kwa USD Bilioni 44.
Awali Kampuni hiyo ilipinga dau lake kisha baadaye ikakubali lakini Musk akaonesha kuifuta nia yake ya kuununua mtandao...
Elon Musk ametishia kujiondoka katika mkataba wa dola bilioni 44 wa Twitter, akishutumu kampuni hiyo ya mitandao ya kijamii kwa "kuzuia" maombi yake ya kujifunza zaidi kuhusu watumiaji wake.
Katika barua iliyowasilishwa na wasimamizi, Bw Musk alisema alikuwa na haki ya kufanya kipimo chake...