Chombezo: Staili 8 Bao Moja🔞

Simulizi

Member
1-3

Chombezo: STAILI 8 BAO MOJA
EP 01

🍆🔞

Ndugu zangu, wapendwa wangu, sina ya kuwaogopesha juu ya wanawake. Ninaweza nikawa ni mmoja tu mpumbavu, naam mpumbavu ndio.

Naitwa Rozi, nina mwaka wa nne sasa katika ndoa yangu. Sijui nikikwambia kuwa nilimpenda mume wangu kupita maelezo utaniamini? Natumaini huwezi kuniamini kwasababu akilini mwa wengi huamini kuwa usipochepuka ndio unampenda mwenzio. Kwani niliwahi kuchepuka lakini sikuwahi kujutia, sikujutia na siwezi kusahau japo sitoweza kurudia tena kuchepuka.

Kujuta kwenye kuchepuka kunatokana na huko ulikochepukia, ukipelekewa moto wa maana huwezi kujutia. Pia unaweza kujutia kama mume wako ataendelea kukunyesha upendo mkubwa, lakini kwangu nilionyeshwa upendo mkubwa baada ya kuchepuka ila sikuwahi kujuta.

Acha niwasimulie jinsi ilivyokuwa. Mimi kwakweli sio mtu wa kuchangamana sana na watu, tabia yangu hiyo ilimpendeza mume wangu lakini baadaye aliona kuna haja ya mimi kuwa rafiki wa kuzungumza naye.

Kwa mume wangu sikukosa chochote, narudia tena sikukosa chochote, nilipewa kila moyo wangu ulichohitaji, kwenye hii dunia mume wangu namuweka nambari moja ya wanaume na waume bora duniani.

Nikapata rafiki, Joyce, mke wa rafiki wa mume wangu. Vitu vingi nilikuwa nikiendana naye lakini mwenzangu alikuwa akipenda sana kucheza muziki, na sehemu pekee aliyoipenda ni klabu, hakuwa muendaji sana lakini kwa mwezi lazima aende mara moja.

"Mara moja moja siyo mbaya,"
"Lakini ukienda klabu unacheza mwenyewe au?"
"Huwa najichanganya tu,"
"Kwahiyo watu wanakushika kiuno?" "Kiuno tu! Mpaka kubambiwa,"
"Kha! Mimi siwezi, naona kama nitakuwa namsaliti mume wangu,"
"Kushikwa tu! Kufanya ndio kusaliti bwana,"
"Mmh! Siwezi kabisa."
Niliongea hivyo na Joyce ambapo katikati ya maongezi, alipigiwa simu, nikamsikia akiwa anongea...mwishowe aliniuliza,
"Anaweza kupitia hapa?" "Nani?"
"Fundi wangu, wa kiume," "Mh! Sawa." Basi alimwambia huyo fundi wake apitie nyumbani kwangu, kwavile alikuwa ni mgeni wa Joyce nilimruhusu. Baada ya kama dakika kumi na tano huyo fundi alifika. Alipofika huyo fundi ndio hapo kisa changu kilipoanza.

Alikuwa ni mwanaume fulani wa kawaida sana, hakumzidi mume wangu kwa chochote labda kitambi, mume wangu alikuwa nacho cha wastani.
"Habari madam," alinisalimia hivyo "Nzuri," kifupi nilimjibu
Basi walingea na Joyce kisha alipotaka kuondoka aliniaga tena, sikumjibu chochote.
"Shosti mbona kavu hivyo? Au umemwelewa?" aliniuliza Joyce kishambenga
"Nimwelewe huyo kaka? Ah wapi," "Makasiriko ya nini sasa?"
"Basi tu, kwani ni nani?"
"Ni fundi, kabla hajaja nilikwambia, lakini kaka yuko vizuri, mrefu, mweusi, na unajua sifa ya wanaume warefu weusi?"
"Wana sifa gani?"
"Dudu..." alinijibu hivyo huku akionyesha mkono wake ishara ya kuashiria dudu kubwa.
Basi siku hiyo ilipita, kusema ukweli sikuweza kubishana na moyo wangu, yule kaka sijui ndio nilimpenda au nilimtamani, yaani nilijikuta nikimuwaza na kutafakari kilichonikuta hiyo siku. Nilipomuona yule fundi



EP 02

STAILI 8 BAO MOJA

Nilipomuona yule fundi ni kama mwili uliishiwa nguvu, nilibaki nikiimtazama tu, ili nisimuonyeshe hilo nilijikuta nikimjibu kifupi tu.

Katika hali nisiyoitarajia, eti mume wangu alirudi siku hiyo akiwa na fundi yule aliyeniletea mchanganyiko wa mwili siku ile.
"Mke wangu, utachagua namna nzuri ya kupendezesha ukuta, huyu fundi atakusikiliza,"
"Sawa mume wangu." nilimjibu hivyo kisha nikambusu kwa hisia, alirudi kazini kuendelea na kazi.

Fundi huyo alijitambulisha jina lake kuwa akiitwa Basaula kisha akawa anataka kulijua langu, nikamdanganya kuwa naitwa Sheila, ni moja kati ya majina niliyokuwa nikiyatumia kabla hata sijaolewa pale nisipotaka mwanaume anifahamu.

Basi akaninyesha baadhi ya picha za 'Wolpepa' zilivyopendeza ukutani, nami nikachagua, sasa wakati nachagua mwenzangu sijui alikuwa akiwaza nini, si akadindisha, tena sijui hakuvaa boksa, nilimwangalia kwa macho ya wizi kisha nikaenda zangu chumbani,
"Njoo mchukue fundi wako huku kadindisha mshenzi huyu!" nikimtumia huo ujumbe Joyce, akacheka sana,"Aliniambia kafa kaoza, na anataka akunyandue na atakwambia,"
"Nini? Athubutu aone!"
"Punguza munkari uko nyumbani kwako bwana,"
"Ngoja nikamtoe..."
Basi nilirejea sebuleni na siku hiyo nilivalia gauni langu lililkuwa pana tu, umbo lilinibeba, gauni hilo halikufika kwenye magoti. Palikuwa ni nyumbani kwangu kwahiyo sikuwa na presha,
"Kaka kuna wanawake wanajua kumpetipeti mume, kuna wanawake wanajua kubusu, yaani wanambusu mwingine unasisimka mwingine,"
"Ndugu yako nikirudi salama jua Mungu ni mkubwa kaka."
Yote hayo aliyazungumza fundi Basaula akiongea na mtu kupitia simu, nilitamani kucheka, nilikumbuka pia yale maneno ya Joyce, nikapigia mstari Basaula alikuwa akinitamanj.

Basi nilipokuwa jikoni niliandaa chakula huku nikiwa nimekubaliana na Fundi kuwa hizo Wolpepa za ukutani zinaletwa muda usio mrefu. Ghafla fundi akaniita,
"Umeniacha mwenyewe," "Niko jikoni naandaa chakula,"
"Nikusaidie lolote maana niko vizuri," "Hapana usijali,"
"Sasa siwezi kukaa bila kazi, nikusaidie hata kukata vitunguu,
"Sawa."
Nilimkubalia nikiamini kazi yangu itakwenda kwa haraka maana nilipanga kupika pilau la nyama ya ng'ombe. Fundi akaanza kukata vitunguu maji, akawa anajisifu kuwa yeye ni fundi wa vingi, akaanza kuongea mafumbo yake, kusema kweli moyo wangu ulikuwa una furaha tu kumuona, sijui hata alinivutia kitu gani. Nilishindwa kujizuia kumtazama usoni, jinsi alivyokuwa akiongea, vidole vyake, yaani ilikuwa ni upuuzi lakini kiherehere cha moyo sasa!
"Eh mwenyezi Mungu nionee huruma, nisaidie nisichepuke nampenda sana mume wangu." Nilisali hivyo moyoni
"Unajua kwenye maisha kuna mtu unakutana naye, unatokea kuvutiwa naye mpaka unajiuliza imekuwaje! Unagundua yuko na mtu hivyo kitu pekee unachoweza kukifanya ni kumfikisha tu..."
Aliongea hivyo ambapo nilijua kabisa nikimjibu nitakuwa nimeunga mkono huo upuuzi, nilikaa kimya huku nikiendelea na maandalizi.



EP 03
Kuna kitu alikifanya jikoni hapa nikamfokea sana, alikuja kwa nyuma na kunikumbatia kisha akanibusu shingoni, kwakweli nilisisimka lakini nilijikaza na kumsukuma, nilimtukana mpaka mishipa ya shingo ilinitoka, nilimtolea maneno makali machafu mpaka nikajishtukia, sikuwahi kutukana hivyo,
"Samahani," nilimwambia hivyo
"Usijali, najua unanipenda, vyote vitanidanganya lakini sio macho yako,"
"Unaongea nini wewe!" nilipomjibu hivyo akanisogelea zaidi
"Macho yako tangu siku ya kwanza uliponiona, mimi pia nilikupenda sana, nikathubutu kumwambia rafiki yako akwambie lakini akasema umeolewa na hawezi kukuvunjia heshima,"
"Hebu toka!"
Nilijaribu kumkwepa kisha nikaondoka. Nikaelekea chumbani ambapo niliwaza sana ni kwa namna gani nimtoe Basaula, nilishika simu yangu na kutaka kumjulisha mume, niliwaza sana nilipopata cha kumshauri nilimligia,
"Mke wangu kipenzi,"
"Eeh mume wangu, upo bize?"
"Kuna maandalizi nayafanya, tunaingia kwenye kikao,"
"Ooh sawa baba nilikumisi, uwahi kurudi," "Sawa mke wangu japo leo nitachelewa kidogo ila haitavuka saa mbili,"
"Sawa."
Nikawa mpole, nikampigia simu Joyce ili aje, akaniambia ana safari ya kwenda saluni na akitoka hapo atapokea mgeni hivyo itakuwa ni vigumu.

Basi nilitoka nje ambapo sikumkuta fundi, nilimtafuta nyumba nzima lakini nilimkosa, begi lake halikuwepo. Mara nikapokea ujumbe kutoka kwa fundi,
"Nimeondoka nitarudi baadaye, jamaa yangu aliyetakiwa kuja na mzigo amekwama." swali la kwanza nililojiuliza ni kwamba alitoa wapi namba yangu mpaka akanitumia huo ujumbe, kabla sijakaa sawa ndio Joyce akanipigia,
"Shosti kuniita haraka hivyo vipi?" aliniuliza Joyce
"Mwenzangu wee! Huyu fundi wako sijui ana majini, yaani akiwa tu karibu nakuwa sijielewi,"
"Wee! Nimempa namba yako, aliniambia aliondoka bila kuaga,"
"Ooh! Shosti mbona hatari, kusema kweli sijui hata nifanyeje,"
"Kwani vipi! Umempenda?"
"Hata sielewi, hivi hushangai kanibusu shingoni na nikajisikia vizuri kabisa, kwakweli siwezi kumruhusu aje tena,"
"Jamani, mapenzi mabaya," "Nitakuwa ndio nimempenda?"
"Ila jikaze kipenzi, ndoa muhimu, sio kwamba mimi hainitokei, hunitokea ila mume ni mume, ukichezea ndoa unaweza kuteseka sana,"
"Shosti umeongea, maana yule angenibananisha hata ndani humuhumu ningempa, bora hata alivyoondoka..."
Basi nilipiga soga na Joyce kisha nikakata simu utafikiri mimi ndio niliyepiga. Nikaingiza mkono kwenye kei yangu na kuutoa, tayari nilikuwa nimeshaanza kuchafuka.

Baada ya sekunde kadhaa, nikahisi nainuliwa, mwanzoni nilijua tetemeko la ardhi.
"Hello madam!" nilishtuka kusikia hivyo mpaka kelele ya uwoga niliitoa
"Usiogope bwana," nilipoisikia hiyo sauti ndio nikajua kuwa ni fundi Basaula. Akatoka chini ya sofa huku akiwa amedindisha kabisa tena waziwazi, nilimwangalia kwa kuibia huku nikiwa natafakari kuwa, kumbe yale yote niliyobwabwaja kwenye simu aliyasikia,
"Mtu akiwa mwenyewe huongea ukweli, ni kweli?" alinihoji
"Sio wote, wengine wanadanganya tu!"
"Nimesikia kila kitu, sasa tunafanyaje?" "Kufanyaje vipi? Naomba uondoke..."
Muda huo nilikuwa nimesimama kwenye korido, alipokuwa akinifuata nilipiga hatua za hataka kukimbilia chumbani, akaniwahi na kunidaka, alinikumbatia kwa nyuma.
"Wewe kaka sitaki mazoea, hebu niache

huko!"

"Najua humaanishi unachikiongea," "Nakung'ata niache."
Wakati naendelea kumtisha ili aniache,

yaani alivyokosa adabu nilishtukia dole likipenya katikati ya makalio na kugusa kwa mpalange, nikabana makalio haraka,
"Wewe kaka ndio nini hivyo?" "Tulia mtoto mzuri,"
"Mume wangu atatukuta, niachiie! Basi akaniachia na kuchomoa dole lake, sijui alitumbukiza la kati au gumba maana alipochomoa ni kama hakuchomoa vile kwa jinsi nilivyojihisi.

Nilisimama mbele yake umbali kama wa hatua mbili tukiangaliana, akilini likanijia wazo kuwa mwanaume hupata maumiu akiminywa pubu. Basi haraka nikapeleka mkono kwenye dudu lake na kushika pubu, kitendo cha kushika tu ni kama niligandishwa mkono, nikashindwa kuchezesha vidole ili nimminye
pubu zake.
 
4-6
Chombezo: STAILI 8 BAO MOJA
🔞🍆
EP 04
"Unaitaka hiyo, leo nataka nikuto..." alizungumza hivyo bila hata kutoa tafsida. Alinisisimua mno, mkono wangu ulikuwa umeshika dudu lake huku nisielewe cha kufanya.
"Nakupenda sana wewe mwanamke, sijawahi kuona mwanamke mzuri kama wewe, leo nataka nikunyonye kei mpaka kwa mpalange, leo nitakuonyesha tofauti yangu na mumeo kwenye kitanda chake,"
"Hivi umenipa nini? Mbona..." kabla hata sijamalizia akaniwahi, akauvamia mdomo wangu, huo mchezo niliupenda sana. Mwanzoni nililegeza tu mdomo bila kujibu mapigo lakini kadri alivyozidi kunitokonyola na ulimi wake, nami nikawa napaga hisia, nikaanza kumjibu, tukaanza kunyonyana.

Taratibu mikono yake iliingia ndani ya gauni langu na kunishikashika makalio. Alipandisha mikono juu zaidi na kuingiza ndani ya nguo yangu ya ndani, akawa anayashikashika makalio yangu kwa fujo. Alininyonya lipsi na ulimi mpaka nikawa naishiwa nguvu.
"Chumbani kwako wapi?" aliniuliza "Unataka kufanya nini?"
"Nionyeshe, nataka nikuparembe nikufanyie sherehe ya kipamara,"
"Mshenzi wewe!" nilijikuta nikicheka alipotaja kipaimara
Kwa upuuzi nilimwonyesha chumba chetu, akajitutumua na kunibeba, akaniweka begani moja kwa moja mpaka chumbani kwangu.

Akanibwaga kitandani. Akanipanua mapaja. Hakuniivua ile nguo ya ndani, alipitisha ulimi wake kwa pembeni na kufunua kidogo kitambaa cha hiyo nguo ya ndani, alivyokuwa akinilambalamba sasa! Niliishiwa nguvu na kusahau kabisa kama nipo kwenye kitanda ninacholala na mume wangu.

Ulimi ulipenya huku ukinisisimua na lile joto lake, kipunje changu kilisimama dede utadhani mkono wa shabiki wa mpira timu yake ikishinda goli. Yaani nilisisimka na kushindwa kuuzuia mdomo wangu kutoa miiguno ile ya ukweli maana kuna miguno sindikiza mume na miguno ya kuhisi unachofanyiwa. Aliniinamisha, wala sikujali kuwa mlango wa sebuleni uliachwa wazi au lah! Sikujua hata simu yangu niliiweka wapi. Niliinama na makalio yangu yalijimwaga hasa. Akaanza kuntekenya na meno yake, nilimwachia makalio yote, akaivua ile nguo ya ndani kwa kutumia meno yake, alikuwa akinisisimua mno. Hakuitoa yote, aliishusha mpaka usawa wa mapaja. Fundi alikuwa fundi kweli, moja kwa moja ulimi wake ukagusa kwenye jicho langu la nyuma. Sikuamini kama Basaula ananyonya huko, alizamisha ulimi na kuninyonya bila kinyaa, nilisisimka huku nikigopa maana hiyo sehemu nilikuwa nikisikia tu kwa wenzangu hisia zake ukinyonywa.

Baadaya ya kuona ameridhika akanitumbukiza dudu lake kwenye kei, akaanza kunifokoa nalo taratibu. Fokofokofoko lilibana vizuri mpaka mauno nilimzawadia, jamani uwongo dhambi, kuna raha kubwa sana mwanamke unaihisi kama ukiwa umeandaliwa vyema. Alinipelekea moto kwa kukandamiza, alinipiga makofi ya makalio, alinishindilia dudu huku akizungusha kiuno chake taratibu. Alinishika kiuno akichanganya muda mwingine makalio, alininyandua na nilihisi utamu sana.
Alinilaza ubavu huku mguu wangu mmoja akiubananisha na kifua changu. Mkono wake mmoja ulipita chini ya mguu huo alioubananisha kifuani mwingine ukipita chini kidogo ya kwapa langu. Mikono hiyo ikanishika mikono yangu kama mateka. E bwana eh! Jamani alipoingiza dudu lake yaani utadhani alijua nilikuwa nawashwa wapi, sijui alikuwa akiifanyaje kei yangu ila nilihisi kama ana dudu kubwa mno. Halafu mapigo yake ya taratibu ndio yaliyokuwa yakinimaliza. Nilihisi utamu mno, sasa nikawa nataka kujiachia niwe huru, niliweza kutoka? Alinibana sana. Ule msisimko ulizidi nikajikuta namng'ata kaka wa watu, kojo tamu jamani!

Staili ya tatu.

"Naomba tupumzike wewe kaka!" "Bado sijamwaga,"
"Saa ngapi utamwaga?"
"Muda sio mrefu, bao moja tu," "Sawa, bao moja..."
Hakutaka kupumzika Basaula. Mwili ulishachoka kabisa, ni kama nilimwachia mwili wangu autawale.

Akanilaza kifudifudi, akaniwekea mito miwili chini ya kiuno, kiuno kikapanda juu kidogo, akachukua ile nguo yangu ya ndani ambayo ilikuwa hapohapo kitandani, akanivalisha mpaka usawa wa mapaja, sijui aliifungaje bwana, sikuweza hata kusogeza miguu yangu, ilibana mno. Yeye akachuchumaa na kuniweka kati, alikuwa kama anataka kujisaidia haja kubwa vile. Dudu mbele lilinyooka, akaliingiza kwenye kei, likazama lote kwani palikuwa na utelezi wa uji wangu. Mikono yake ikakandamiza kiuno changu hali iliyopelekea kiuno kubinuka zaidi juu. Akaanza kuninyandua, jamani mwanzoni nilihisi kushindwa kuhema lakini sijui kaka yule alikuwa akigusa wapi, yaani nilianza kuhisi utamu upya.

EP 05


Basaula aliniweza, kila kona aligusa, tena akikuwa akininyandua kwa kuzungusha kuno chake. Aliyaweza mambo mwanaume yule. Sasa aliposogea mbele kidogo ndipo hapo nilipoanza kuimba nisivyovijua. Aligandisha dudu lake kisha akaanza kuzungusha ndani ya kei. Jamani kila pigo kwangu lilikuwa ni moto.

Basaula akaanza kunishindilia ile anakandamiza halafu anagandisha na kusiliba, akachanganya na kuanza yale mapigo ya haraka. Aisee! Nilipoona moto unazidi kwenye kei ilinibidi nijitoe kwa nguvu, nilimsukuma huku sura yangu ikiwa kama imelishwa ndimu,
"Sitaki bwana, wewe unafanya kwa sifa," "Sifa gani tena mrembo wangu,"
"Muda wote hujamwaga? Au
umeninywea dawa?"
"Sasa kama hiyo dawa nimeinywa muda gani jamani?"
"Hapana, haiwezekani usimwage..." Staili ya nne.
"Bado kidogo tu,"
"Nakupa dakika tano tu, usipomwaga sikupi tena..."
"Sawa,"
"Ila wewe humwagi, sitaki bwana."
Basi nilinyanyuka na kutoka kitandani, nilipanua mapaja ili hewa ipite. Akawa ananicheka, eti akachukua shuka na kunifuata ili anipepee, aliponifikia tu, akanikamata na kuanza kuninyonya lipsi zangu, ulimi ndio usiseme, dudu lake lililokuwa limenywea lilidinda tena na kunigusa kwenye kitovu changu.

Akanigeuza kisha akanitanua miguu, nilibananishwa ukutani, akarudi kwa chini huku akiwa amelishika dudu lake, akanichomeka, likazama taratibu, akapanda juu kidogo kisha mimi nikabinuka kwa kurudisha makalio nyuma kidogo. Akanishika shiingoni na kunibinua kichwa ili aniingize ulimi masikioni.
"Aaashiiiii," "Inaingia yote eh?" "Ndiyo, inabana,"
"Hivi je?" "Yeeeeees aaaah."
Aliponiuliza hivyo alizidisha kunizungushia kiuno huku akininyandua. Alianza taratibu lakini baada ya muda akaongeza kasi, mikono yangu akaikamatia kwa juu kwa kuibananisha ukutani. Alininyandua kwa nguvu nikawa nasimamia vidole, halafu alivyo na nguvu, akawa ananikandamizia kwa chini huku akinisokomeka dudu lake kwenda juu.
"Fundi tupumzike tafadhari..." "Bado kidogo,"
"Kidogo hiyo vipi! Wewe muongo, mimi sitaki..." haikuwa kwa kujifanyisha, nilipozungumza hivyo nikaanza kulia, yeye wala hakusikia kilio changu, aliendelea kunikandamiza dudu lake, akaanza kunitembeza chumba kizima akininyandua, sijui akiwezake mpaka kukatika vile. Kilichoniangusha ni pumzi, pia viungo vilichoka sana kwasababu sikuwa mtu wa mazoezi.
"Nakufa fundi, mimi mwenzako nakufa," "Huuwezi kufa, haya tupumzike."
Basi tukaenda kuoga, Basaula ndiye aliyeniogesha na kunisafisha kila mahali, nilikuwa nimechoka kweli. Tulipomaliza bafuni tukarudi kitandani maana maji tulishajifuta bafuni, nikamlalia kifuani Basaula,
"Ulivyojiachia utadhani kwako vile?" nilimwambia hivyo kichokozi
"Aah! Hatari, unajua mke wangu, sitojutia nikifumwa, nakupenda kweli wewe mwanamke,"
"Muone, na wakati umenitamani tu hapo, ukishamaliza huyo!"
"Tatizo litakuja kuwa tayari umeolewa, yaani labda wewe unifukuze, lakini mimi kwako sibanduki,"
"Haya bwana, kwanini hukojoi?" "Ndivyo nilivyo, nitakojoa tu,"
"Kha! Haiwezekani bwana, wewe umeninywea dawa,"
"Kwani nilijua kama tutafanya hivi?" "Si ulishaona ishara,"
"Ishara niliona, ila sikuamini sana,"
"Hivi kweli wewe umekataa kukojoa?" nilimshika dudu lake na kuliuliza hivyo
"Usijali mchumbaangu nitakojoa tu," alinijibu Fundi Basaula akiigiza sauti kama ya mtoto mdogo.

Staili ya tano.

"Sitini na tisa," "Sitini na tisa?"
"Ndiyo, ni staili hiyo," "Ndio inakuwa vipi yaani?"
Nilipomuuliza tu hivyo akanipandisha juu yake, akaniambia nigeuke, nikageuka yaani nilimpa mgongo kisha kikamkalia mapajani, akanitaka nisogeze kiuno nyuma, nikasogeza

mpaka usawa wa mdomo wake, akaanza kuninyonya, kumbe na mimi nilitakiwa kumnyonya yeye dudu lake, basi nikainama na kuanza kumnyonya dudu, niliweza sasa! Yaani fundi alinilambalamba kei yangu na kuzidi kunipandisha mizuka.


EP 06

Mimi wala sikumnyonya sana, basi nikarudi mbele kisha nikamkalia dudu lake, nikamshika miguu yake maana nilikuwa naiona mbele yangu, nikaanza kumkatikia, kilichokuwa kikinifurahisha ni vile dudu lilivyobana kwenye kei. Kusema kweli sikuwa fundi kwenye mauno, niliyaweza kiasi tu. Aliniachia nijipimie mwenyewe mpaka jasho likaanza kunitoka, nilipochoka nilishuka.

Staili ya sita.

Nilimgeukia, yeye alipiga magoti kisha akakalia miguu yake, ilikuwa hapo hapo kitandani. Mimi nilipanua miguu kisha nikamkalia, nilikuwa kama nimechuchumaa hivi. Tulikumbatiana kisha tukaanza kunyonyana ndimi, hapo dudu lilikuwa limeshazama kwenye kei.

Basi akawa anatunisha dudu lake na kunifanya nihisi kama kei inatanuliwa,
"Bwana unafanyaje hivyo?" "Kwani nini? "Unanitekenya mwenzio..."
Basi akaanza kunipelekea moto taratibu. Kwakweli nilihisi raha sana, alikuwa akinikandamizia dudu lake huku akiwa amenikumbatia, joto lilinisisimua, zile nywele zake ndio kabisa kifuani zilinisisimua.

Kusema kweli Fundi alinipatia, nami nikaanza kujitingisha kidogo maana sikuweza kusema nilikuwa nikikatika. Akiwa vilevile amenikumbatia, alininyanyua mguu mmoja kidogo kisha akaanza kunisugua, jamani nilisisimka mpaka kichwani nikawa nahisi naashwa halafu nakunwa kwa wakati huo huo.

Fundi alininyandua mpaka nikamkojolea, kojo la maji kabisa, hayakutoka mengi ila yaliloanisha godoro kidogo. Baada ya kukojoa aliniachia nipumzike.
"Lakini una nini wewe kaka?" nilmuuliza "Kwanini?"
"Umeninywea dawa eh?" "Dawa gani jamani?"
"Staili ya sita hii na bado hujakojoa!" "Nitakojoa kwenye staili ya nane," "Staili ya nane?"
"Ndiyo, kwani umchoka?"
"Ndiyo, mume wangu atatufuma yaani tumejiachia utafikiri tunafanya jambo sahihi,"
"Hawezi kutufuma bwana."
Basi tulijadiliana hapo kitandani huku tukiwa kama tulivyozaliwa, Fundi aliufanya mwili wangu vile alivyotaka. Muda huo nilikuwa nimelala chali, yeye akawa ananinyonya chuchu zangu huku akinisifia mno, sura yake akiilegeza, sauti yake pia yaani alijaa mahaba sana.

Simu yangu ikaita, nikaichukua, alikuwa ni mume wangu akipiga, kwanza mifumo ya mwili ikakafa hisia, nikapokea,
"Mke wangu uko salama" "Niko salama baba,"
"Mbona unaongea kama umelala?" "Ndiyo, tena nimelala bila nguo yeyote," "Jamani, kwanini?"
"Joto, halafu nimekumisi..."
Basi muda huo Fundi akataka kuzama chumvini, ikabidi nigeuke na kujilaza kifudifudi. Fundi kwani aliacha! Alianza kunitekenya na mdomo wake kwenye msamba wa makalio yangu, kwakweli alinitekenya mpaka nikawa nakosea maneno kuongea na mume wangu. Alinifanyia makusudi mpaka nikamaliza kuongea na mume wangu salama,
"Sasa ndio nini?" "Nimefanyaje?"
"Hujaona nilikuwa naongea na mume wangu?"
"Mapenzi ya wizi matamu jamani," "Wizi? Shauri lako, ngoja ukamatwe," "Siwezi kama wewe hutokamatwa." "Toa domo lako huko!" "Linakutekenya au?" Staili ya saba
Maongezi yaliishia hapo. Akanibeba na kunipeleka sebuleni. Akaniweka juu ya meza ya chakula.
"Lakini meza ya chakula hii?"
"Na kilichokaa juu ya meza ni chakula

pia,"

"Mbona huishiwi maneno wewe?" Akanivuta na tukaanza kunyonyana lipsi

na ndimi. Nilikuwa nimeketi juu ya meza, yeye alikuwa amesimama. Kila alipokuwa akininyonya hivyo nilikuwa nalegea sana, sijui kaka huyo alikuwa na nini jamani.

Akanipandisha juu ya meza kabisa nikasimama kwa miguu miwili, nilikuwa naogopa,
"Chuchumaa," "Nichuchumae tena?"
"Kama unataka kukojoa vile..."
Basi nikachuchumaa. Jamaa alikuwa na michezo ya ajabu sana. Akaketi kitini kisha uso wake mdomo wake ukawa umeelekea kei yangu, akaanza kuninyonya. Alinishikashika makalio huku ulimi wake ukinisisimua, jamani kunyonywa hakuzoeleki. Fundi alininyonya mpaka hisia za kutamani dudu zikarudi tena.
 
7-8 MWISHO
Chombezo: STAILI 8 BAO MOJA

🍆🔞
EP 07

Nikiwa nimeketi hivyo, kei ililowa, akasimama na kuanza kunipigapiga kei yangu kwa kutumia kichwa cha dudu lake. Akawa kama anatishia kuingiza kisha anatoa, mwishowe akazamisha, akanikumbatia na kunilazia upande wake kidogo, jamani, safari hii hakuanza taratibu alinipelekea moto kwa kasi ya ajabu mpaka nikawa namuangalia huku sura yangu ikiwa kama imelishwa limao.

Alinishika kwa nguvu na kuninyandua kwa kasi, kila nilipomsubiri achoke ndio kama aliongeza, utamu ukaanza kuja, kiuno chake sikukichezesha, moto niliuhisi huku chini kwenye kei, dudu halikuchoka wala kukosea njia, alinisugua mpaka nikawa kama naishiwa nguvu, baadaye akachoka na kuchomoa kabisa dudu lake, alihema kama amefukuzwa umbali mrefu mno, ilionekana ule muda wote akinishindilia kwa kasi alikuwa akibana pumzi maana sio kwa uhemaji ule.
"Unakamia sana!" "Hamna bwana," "Ona unavyohema,"
"Kawaida, bila kuhema utakojaje?" "Na wale wanaokojoa mapema je?"
"Mwanaume lazima utoke jasho kama umemwagiwa maji, hapo ukikojoa unakuwa umekithaminisha kikojoleo chako." kauli hiyo ilinifanya nicheke sana. Kuinuka sasa hapo mezani, miguu kwa jinsi nilivyochuchumaa ni kama mifupa iliganda mpaka aliponisaidia Fundi, alinibeba mgongoni na kuzunguka na mimi sebule yote.
"Jiachie tu ukutwe,"
"Mwenye nyumba nipo ndani, anikute

nani?"

"Utaniangusha bwana."
Basi akanirudisha chumbani ambapo

ndipo kidume kilikojoa.

Staili ya nane.

"Hii ndio staili ya nane?" "Ndiyo,"
"Kwahiyo utakojoa?" "Ndiyo,"
"Umejuaje?" "Lazima nikojoe,"
"Usipokojoa mimi siendelei hata uniuwe, yaani hapa nilipo umeshanimaliza,"
"Usijali...kuna staili mimi naipenda

sana,"

"Ipi hiyo?" "Mbwa,"
"Hiyo tu...haya njoo baba umwage," "Ndani au nje?"
"Leo niko salama, vyovyote

utakavyopenda,"
"Hata ndani?"
"Ndiyo, wapi ukimwagia unahisi raha sana?"

"Ndani,"
"Sawa."
Basi niliinama bila hata kuinamishwa. Nilipiga magoti kisha nikambonokea. Tena nilijikunja kweli,
"Sio hivyo,"
"Jamani! Unataka nibinuke mpaka nivunje mfupa?"
"Hapana."
Basi akachukua shuka, akalichana na kuliunganisha likawa kama kamba nene, akaifunga kupitia hapo kitandani katikati. Ilikaza mno. Akachukua shuka lingine na kulichana pia.
"Haya njoo, ingia hapa."
Niliingia kwenye ile kamba ambapo ilipita mgongoni mangu, ikanikandamiza mgongo na kufanya kiuno changu kubinuka zaidi. Iile shuka lingine alilolichana alinifunga mapaja na mngongo, kwenye magoti niliachwa huru.

E bwana eh. Hapo ndipo akaniinamisha vizuri, mapaja yalikuwa yamebaniwa na shuka lililopita mgongoni. Akanichomeka dudu lake, jamani alinyandua, yule kaka alininyandua mpaka nikawa nahisi shingo inataka kuchomoka, ni kweli niliumia, kila nilipotaka kujtoa hakunielewa. Shingo ilniuma sana, na alichukua muda mrefu, alitumia nguvu mno, hilo bao moja mpaka kuja kulitoa, ilikuwa ni shughuli pevu haswa. Kaka wa watu alijikunja alipiga kelele mpaka aliniogopesha, sasa ile kujichezesha si nikajichomoa na wakati ndio alikuwa akikaribia kulimwaga, jamani jamani! Msiwafanyie hivyo wanaume, alinipiga makofi ya makalio mengine ya mbavu, yaani yalikuwa ni makofi ya nguvu mpaka niliumia, kojo lake lote lilirukia kitandani, alikojoa kojo la maana. Sura yake sasa alipokuwa akikojoa, nilitamani kucheka lakini nilibaki nikiugulia maumivu ya makofi.
"Ona ulivyonipiga!" "Wapi? Mimi?"
"Hizi alama kwenye makalio huoni?
Mbavuni?"
"Pole jamani," "Toka huko!"
Basi shughuli ilimalizika hivyo ambapo Fundi aliondoka tena akiwa hana nguvu, kutembea kwenyewe kuna mida alipepesuka. Mimi ndio kabisa, miguu kwenye maungio sikuwa na nguvu kabisa.

EP 08

Nilijitahidi kusafisha nyumba na kufua mashuka, nilisafisha kila mahali palipoonyesha utofauti. Nilipulizia marashi mazuri kisha nikafingua madirisha kuruhusu hewa ipite. Nilioga na kujiremba kidogo kisha nikaingia kulala. Mpaka kufikia majira ya saa nne usiku ndio nikashtuka nikiwa nimekumbatiwa na
mume wangu, ilibaki kidogo niite fundi. Nikaamka ambapo njaa ilikuwa ikiniuma mno. Kutembea mpaka jikoni nlijitahidi maana miguu bado haikuwa na nguvu. Nilikuta chipsi kuku mezani, nikajua tu mume wangu alinunua chakula. Mara nyingi hufanya hivyo kwasababu huwa anajua ninavyopenda chipsi kuku.

Nilipomaliza kula nilirejea kitandani na kumeangalia mume wangu jinsi alivyokuwa akikoroma.
"Eh Mungu wewe ndiye unayejua dhambi niliyoifanya leo, naomba unisamehe, mume wangu ananipa kila kitu, ni mume safi, naomba unisaidie ya dunia yasinielemee." nilisali hivyo huku nikimwangalia mume wangu.

Ukutani palikuwa na picha ya harusi yetu, hiyo picha tulipiga na nakikumbuka kituko alichokifanya mume wangu siku hiyo, nikacheka kwa sauti mpaka nikamwamsha,
"Umefura au?" aliponiuliza hivyo alinifanya nizidi kucheka. Akaamka na kulala ubavu akinitazama, tukawa tunaangaliana,
"Umekula?"
"Ndiyo mume wangu, ahsante, sijui wewe baba yangu,"
"Nimekula sana ofisini leo nyama kwahiyo sikutaka kuongeza kitu,"
"Ooh, nilikumbuka siku ile ulivyofura wakati unapigwa picha ya harusi,"


"Wewe vyako umesahau kila siku usiku, yaani nikilala utadhani niko uwanja wa vita mabomu yanavyolipuka," nilizidi kucheka sana
"Sawa tu, nyani haoni kundule,"
"Unataka kunisingizia kuwa nimefura ndio ukacheka?"
"Sasa je!"
"Kweli?"
"Ndiyo, tena mpaka nikahisi utakuwa umeyashusha,"
"Weee!"
Eti mume wangu alikimbilia chooni na kujikagua kama alivyofura atakuwa alishusha kitu kigumu.

Aibu ilinishuka. Mume wangu hakunikosea chochote. Alinipenda sana, kadri muda ulivyozidi kwenda ndivyo alivyozidi kunipenda. Kuna upande wa kidunia uliniambia nilikuwa sahihi kwani nilifimishwa mahali ambapo sikuwahi kufikishwa kabla lakini upande wa kiroho niliona ni kosa kubwa sana.

Wiki ile ya kwanza tangu nifanye usaliti nilikuwa nikiwasiliana na Fundi na mwisho wa siku alinikubalia kuwa tupotezeane.

Nilitubu kwa Mungu na moyo wangu ukawa na amani, niliendelea kumpenda mume wangu kama kawaida bila kujshtukia tena.

Basi siku moja mume wangu alinipeleka kwenye hifadhi ya serengeti kutalii wanyama. Nilifurahia sana, usiku tukiwa chumbani, alinipa zawadi. Akaniambia nisiifungue mpaka ikifika saa mbili usiku, lilikuwa na boksi kubwa na nilikuwa na shauku sana.

Basi saa mbili ilipofika, nilifungua boksi na sikukuta chochote, lilikuwa tupu. Nilipolikagua kwa kulikung'uta zikaanguka chini picha zangu nikiwa nanyanduliwa na Fundi. Niliishiwa nguvu,
"Usilie kwasababu nilishakusamehe, nakupenda sana na naamini nikikusamehe sasahivi hutarudia tena, mimi niko nje, ukimaliza kulia njoo tufurahie maisha."

Sikuweza kumjibu chochote. Nikiwa hapo ndani nilitamani kukimbia, sikuamini kama ningeweza kupata msamaha kwa nilichokifanya. Niliwaza mpaka nikasema pengine mumr wangu anataka kuniua kimya kimya.

Nilipotoka nje baada ya muda mrefu kulia, mume wangu alikuwa na furaha sana mpaka nilishangaa,
"Usijali mke wangu, nililia sana, nilitamani kuchanganyikiwa lakini nilijikaza na kuvuka salama, hata nikikuacha nitampata mwingine atakuwa na shida zake tu, nakupenda sana naomba usirudie tena, usiongee chochote, naelewa hali unayopitia,"
"Ahsante mume wangu, nikirudia naapa kwa Mungu aniue hapo hapo, ahsante sana baba yangu."
Nilimwambia hivyo huku nikiweka nadhiri kwa mwenyezi Mungu.

Kumbe siku ile mume wangu alirudi na kupiga picha yeye mwenyewe kisha akaondoka bila hata sisi kushtuka. Kusema kweli katika maisha yangu ni bora nife pale nikihisi kumsaliti mume wangu, na hakuna chochote kwenye huu ulimwengu kitakachoweza kunifanya nimsaliti mume wangu. Nampenda sana, amenisamehe kosa kubwa sana, na hapo ndipo nilipoamini muungwana akisamehewa kosa kubwa kwenye mapenzi basi upendo huzidi mara mia.

Mpaka sasa sijawahi hata kufikiria kuchepuka, ilitokea mara moja na kwa bahati mbaya.

MWISHO.​

 
Back
Top